Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daahh kumbe tapeli Tetea asiemiliki hata conference cup anakula mshahara mkubwa kuliko hata Carlo Ancelotti mwenye makombe yake ya Uefa na La Liga.
Kweli wapigaji sio tu kwenye serikali za Africa, kumbe wapigaji wapo kwenye kila kona ya dunia.
Mshahara anaokula Tetea na mafanikio yake kwenye timu ni daylight robbery.

#Trust the process
#Give Arteta a lifetime contract
1738840603314.jpg
 
Hiyo pesa hajaanza nayo pia huyu ni Manager siyo Kocha.

Ikatokea Ruben anaigeuza united kua timu yenye matokeo na kupoteza mechi inakua siyo kawaida sidhani kama utashangaa akipandishwa status kua manager na mshahara ukapanda
😁 ila mjitathimini
 
Mimi nadhani kwa point tuliyopo hatuhitaji tena false #9, we need a natural CF. False 9 ni kuiunganisha timu iende mbele kupitia outlets, kama una defenders wazuri on ball(Saliba /Timber/ lewis Skelly) , mid wazuri kama zubi kwenye build up na Rice kufanya carries, unachohitaji ni creativity kutoka kwa mtu kama De bruyne na a go getter kama Osimhen then Kila kitu kitakuwa sawa. Kwangu Naypan, Zubi na Natural CF ni lazima tuwapate dirisha la kiangazi kabla ya kusajili cover ya Saka. winger kama Rafa leao ni mzuri endapo tu huna mpango wa kusajili CF, maana unapata mtu wa ku set a sitter na goals pia
 
Saliba ni uchochoro, ni swala la mda tu kulitambua hili.
 
Back
Top Bottom