Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ebwana eeh. Umequote text niliyoituma Mwaka jana wadau wengine ndiyo mnashtuka leo
Yeah mkuu nakumbuka wewe pia ulikuwa umeitoa liverpool kwenye mbio za ubingwa baada ya slot kupewa timu.
 
Naomba kuuliza na wala sio kwa ubaya washindani wetu wa karne mbili zilizopita; mapungufu ya zinchenko kwenye muundo wa inverted full back yalionyesha kasoro gani hadi arteta akaamua kwenda na Calafiori?
cc Castr
 
Zinchenko alikua ana majeraha ya mara kwa mara lakini pia ilifikia muda ikawa upande wake ukishambuliwa anakua exposed kua hayupo vizuri defensively. (too bad Calafiori ni weak hapa kwa % fulani)
 
Back
Top Bottom