Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
1-6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani arsenal ukiingia kwenye 18 zao kama watu vile
Kama YangaYani arsenal ukiingia kwenye 18 zao kama watu vile
👏🏿 uskilizweKwa kuzingatia takwimu za jana na kikosi tungecheza na Atletico, Lille au Madrid jana tungefungwa.
Jana Arsenal ilikua ina big chances 6 dhidi ya PSV.
Atletico, Madrid na Lille statistically hawajapaki basi ila waliweza kuzuia mpinzani asitengeneze big chance. Wakati Arsenal ilimpa PSV big chances 3.
Pamoja na hayo, hizi timu 3 zote zina ST na forwards ambao kitakwimu wanatafuta magoli. They do it better kiasi kwamba ingawa hawana big chance ila waliweza kuscore.
Means, watajaribu kuscore kwa set pieces na hapohapo ni kuconvert possibility into a chance. Jambo ambalo Arsenal kwetu ni la moto.
This means, bila kubadilika sisi hatuna maisha marefu huko mbele. Kubadilika iwe kimfumo, mindset au wachezaji.
Hata mimi nimewaza kama wewe. Huyu PSV tungemalizana naye kwa zile tatu za mwanzo. Halafu Manyumbu tuwapige 2 - bila, halafu PSV tutoe nae sare ya 0-0 wakija Emirates. Hapo bado tuna chenji ya magoli mawili. Tukikutana na waMadrid, tunapiga 1-0 kwao na 1-0 kwetu, tunazama nusu fainali fresh kabisa kuanza upya na Livakuku.Hz goli mngebalance vzr zingetosha kabisa kuwafikisha Final ya UCL msimu huu...