Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa kuzingatia takwimu za jana na kikosi tungecheza na Atletico, Lille au Madrid jana tungefungwa.

Jana Arsenal ilikua ina big chances 6 dhidi ya PSV.

Atletico, Madrid na Lille statistically hawajapaki basi ila waliweza kuzuia mpinzani asitengeneze big chance. Wakati Arsenal ilimpa PSV big chances 3.

Pamoja na hayo, hizi timu 3 zote zina ST na forwards ambao kitakwimu wanatafuta magoli. They do it better kiasi kwamba ingawa hawana big chance ila waliweza kuscore.

Means, watajaribu kuscore kwa set pieces na hapohapo ni kuconvert possibility into a chance. Jambo ambalo Arsenal kwetu ni la moto.

This means, bila kubadilika sisi hatuna maisha marefu huko mbele. Kubadilika iwe kimfumo, mindset au wachezaji.
 
Hakuna uchambuzi ni kama kituo cha bus kelele tu kila mmoja anaropoka mwingine kaifananisha arsenal na yanga raha sana!
 
Mikel Arteta's side became the first team in Champions League history to score seven goals away from home in the knockout stages of the competition as they romped to a 7-1 win over PSV Eindhoven.
 
Kwa kuzingatia takwimu za jana na kikosi tungecheza na Atletico, Lille au Madrid jana tungefungwa.

Jana Arsenal ilikua ina big chances 6 dhidi ya PSV.

Atletico, Madrid na Lille statistically hawajapaki basi ila waliweza kuzuia mpinzani asitengeneze big chance. Wakati Arsenal ilimpa PSV big chances 3.

Pamoja na hayo, hizi timu 3 zote zina ST na forwards ambao kitakwimu wanatafuta magoli. They do it better kiasi kwamba ingawa hawana big chance ila waliweza kuscore.

Means, watajaribu kuscore kwa set pieces na hapohapo ni kuconvert possibility into a chance. Jambo ambalo Arsenal kwetu ni la moto.

This means, bila kubadilika sisi hatuna maisha marefu huko mbele. Kubadilika iwe kimfumo, mindset au wachezaji.
👏🏿 uskilizwe
 
Hz goli mngebalance vzr zingetosha kabisa kuwafikisha Final ya UCL msimu huu...
Hata mimi nimewaza kama wewe. Huyu PSV tungemalizana naye kwa zile tatu za mwanzo. Halafu Manyumbu tuwapige 2 - bila, halafu PSV tutoe nae sare ya 0-0 wakija Emirates. Hapo bado tuna chenji ya magoli mawili. Tukikutana na waMadrid, tunapiga 1-0 kwao na 1-0 kwetu, tunazama nusu fainali fresh kabisa kuanza upya na Livakuku.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau hichi mlichofanya ni sawa na kutukana mamba kabla hamjavuka mto.
April sio mbali mjue.
1715584369213.jpg
 
Back
Top Bottom