Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Dah,naona Cesc anachechemea..Noma kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah,naona Cesc anachechemea..Noma kweli
Akikaa vizuri anaweza kumtoa Fabiansk namba 2Vito Manone katulia sana golini leo aisee
Belo,mi nipo mazee,sema ratiba zinabana kiasi kwamba inashindikana kuingia JF,ila nipo pamoja na wadau wote wa The Gunners...sijawakimbia jamani...Pa1
Teh teh teh Kipofu akiona mwezi inakuwa balaaa kubwa....Hongera kufunga wachovu!
...nilijua tu! ndio maana sijatia neno hapa!
fabianski mkali sana mie nilikuwa naona kama anakuwa threat kwa almunia soon,manone mzuri sema hile mechi ni ndogo sana kumpima.arsenal hatuna kipa yule anaweza kufanya match winning type of saves kama wakina van der sar na cech.almunia nadhani hule moto ulikuwa wakumnyang'anya namba leahman tu sikuizi jamaa hajitumii na akifanya mchezo nadhani wenger ataleta namba one mwingine.Akikaa vizuri anaweza kumtoa Fabiansk namba 2
Welcome back ,tatizo mnaonekana mkishinda tuMkuu
Hakuna shaka mie pia nipo.
Teh teh teh Kipofu akiona mwezi inakuwa balaaa kubwa....Hongera kufunga wachovu!
Watu bana!....Arsenal ikifunga...imewafunga wachovu.....Chelsea, ikiwafunga hao hao....mnaita mpambano ulikuwa mkali na vijana wanaonyesha ushindani........!Masa..mpira haufuti ile kwenye hesabu inaitwa commutative or associative property..i.e. if A=B and B=C, then A=C......mpira ni tofauti kaka!
Mzee usifanye sherehe kumfunga Wigan.....subiri ukutane na Tottenham, Liverpool, Chelsea, AV etc (Kumbuka vichapo vya Man City na Utd)
Mkuu unapotakiwa kufurahi unatakiwa ufanye hivyo.....ukiwa na msiba unahuzunika accordingly.....vinginevyo maisha hayaendi au?