Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Hayo mbona yapo sema hujatembea ukaona. Kuna sehemu ukienda ni exclusive utakayoyakuta huko tena hapa hapa dsm utashangaa. Haya mambo yapo sana hivi una kipindi cha roman empire kulikuwa na sarafu zimewekwa picha ya style mbalimbali ya kufanya ngono, mteja anachofanya ni kumpa malaya sarafu ya style anayotaka.Unapoambiwa zama za mwisho dont think of 10 - 20 years to come. Kwa sasa unaona jambo la uzinzi na wanawake kutembea uchi lilivyo? Bas jua ni bado sana itafika wakati uzinzi utakua unafanyika barabarani na wanawake watatembea uchi kabisa na hapo ndo hasira ya mungu itashuka
Zilikuwa zimetengenezwa na serikali. Dunia duara ya kale yanarudi