ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

Pale karibu na uwanja wa mpira NAIC ni nyumbani kwao( wazazi wao) kwa sasa anaishi mdogo wake. Aina maeda ni mwanafamilia, huyu mzee anaishi Nshupu ni njia ya dik dik, huko ndio amejenga kasri zake na wanae wanaoishi marekani.
 
Unaelewa scenario aliyoilezea na mazingira aliyekuamo? Hebu plan time uisikilize kwa uzuri. Meneja wa Bank NMB alistukia mchezo na hivyo kumpa 5m tu na taarifa ikkafika Takukuru, adi da moment anapenda report already walikua washapata information. Listen please
 
Hata hivyo Ruge alisema uchunguzi wa kesi hiyo bado haujakamilika na ukikamilika atatoa taarifa kwa vyombo vya Habari juu ya makasa mzima.

KESI IMEKWISHA!!!
 
Nimeskliz vzr mkuu, kwann asitoe taarifa yeye paka manager wa Bank ndo atoe yeye alikuwa anaficha nn, coz nimeona hapo anasem baada ya kufika nyumbani ndo mkubwa wa takukuru akaja kwa sababu alishapat taarifa,

Je huyu mzee hajui kua kutoa rushwa ni kosa kisheria haijalishi una hatia au huna.?

Kwa sababu angewasilian na takukuru mapema ingekuwa rahis kuweka mtego, hata wangempa pesa za moto na maaskari wao na ushahidi usingepotea kama hapo anavyosema kwamba mmoj wao kakimbia na hizo hela bila kugawanywa.
 
Na nna swali hapa mwenye kuweza kunisaidia anisaidie hapa.

je hizo pembe zilizokatw kwa sasa ziko wapi? Kama ushahidi ili ijulikane zimetoka wap hata kama wamembambikizia tujue je hao polisi wamezitoa wap, hapa inaweza saidia kukamata majangili pia.
 
Dah Kiranga komo
 
Hata hivyo Ruge alisema uchunguzi wa kesi hiyo bado haujakamilika na ukikamilika atatoa taarifa kwa vyombo vya Habari juu ya makasa mzima.

KESI IMEKWISHA!!!
Kwann unasem imeisha mkuu
 
Hahahah kweli we unamjua mkuu.

Eti huyo ndio atoe 100mil ya rushwa?mwafaaaaaaaa.

Mzee na Pick up yake anakwambia vijana wanataka bure bure tu. Leo wajinga wameenda kutaka mchomoa 100Mil

Hawa jamaa hawakuwa na taarifa za kiintelijensia kuhusu Prof hichi tu kinaonesha polisi walivyo wabovu kwenye mikakati hadi ile halali
 
Hao polisi wenyewe mmoja wao kasanda
Huyo Prof kwanza anakuambia maisha yake
Yote hajawahi ona pembe wala ngz ya chui

Ova
 
Hii ipo hata Iringa, nafikiri nchi nzima TAKUKURU wapo hivyo isipokuwa kwa malalamiko yenye macho mengi. 2018, mloani Iringa tulipeleka TAKUKURU malalamiko dhidi ya Wataalamu wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa. Wakatafutana na kuyaweka sawa baadae wao (TAKUKURU) wanaanza kutuuliza sisi walalamikaji kuwa watumie kifungu gani kufungua mashtaka,..yaani sisi ndio tuwaelekeze, aisee na kesi ikafa kibudu.
 
Ukienda Mahakamani kuko na maelezo mtuhumiwa huwa anayakana, why? Cause wakuta yamechukuliwa kwa vitisho au vipigo! So unakubali kwa muda huo that's what exactly happened to Prof. Situation was critical
 
Hii inshu nimeisikia muda tu naona wakubwa walikua wanajaribu kuizima zima isisambae.

Sitashangaa nikisikia nae mgao ulimhusu.
Mimi wifi aliingia mtaroni hapo chama asubuhi wala gari haikuumia,wakaita breakdwn n kuipeleka usa kituoni,kwenda hpo nakuta bili ya 400000 kuvuta gari....halafu wametengeneza mazingira kua wife alikua amelewa[emoji16][emoji16] ili wapige hela,wife alitoka hom saa 2 kwenda kwa maza wake usa akiwa njiani akachomekewa na hiace na kuingia mtaroni mida ya saa mbili unusu.
Nimemfuata chama hpo njiani nkaenda nae kituoni wanataka kumuweka ndani
 
Hao wajinga wamebandika sticker za sunny safari,ila watu wanajua gari zao zote
 
Mzee yuko vizuri kiuchumi pia anajengo lake hapo usa wamepanga crdb bank n nssf
 
...Nimvekwazika kidogo hapo Mkuu. Kama huyu Profesa naye alikuwa ni Msafi na hana Mazonge zonge yoyote, kwa nini alitaka kuwapa hao makalamba hela yote hiyo wakati moyomi ansjua yupo safi na hana kosa lolote?
Inafikirisha. [emoji848][emoji848]
Mzee huyo anaishi mwenyewe watoto wake wote wanafanya kazi usa,kwahiyo alipanic
 
Siro nae walewale
 
Mzee ni tajiri anakula kodi za kutosha,anamashamba kama yote....kwa upeo wako kwanini police hawakusachi nyumba waende kwenye mzinga wa nyuki,very simple issue ilikua planted ili wachukue pesa ya mzee.
Huyo mzee watoto wake wamesoma vizuri wanaishi nje hawahitaji hata mia yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…