Hii ishu sabaya naye alishiriki??
Wapumbavu haoView attachment 1821643
Kati ya watu 9 walioshiriki uharamia huu, watatu ni mabaunsa wa Sabaya na wengine ni askari polisi wa kituo cha USA River. Huyu ni Profesa Justine Maeda, amekua Mhadhiri wa chuo kikuu cha UDSM kwa miaka mingi, baadae akateuliwa kuwa mshauri wa Rais Nyerere, na baadae akawa Mkurugenzi wa UNICEF nchini Zimbabwe hadi alipostaafu...
Tanzania ilikuwa imekumbwa na janga la kutawaliwa na Dikteta hatari kabisaNiliiona kwa Millard nadhan last month nikabaki kujiuliza ndo Tz hii??