ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

Sabaya , USA River Police Plus Makao Makuu. Hii kwa 100% Kubwa yaweza Kuwa Kweli kwa Maana Wale Mabauncer wake Wasiopungua Watano Alikuwa anawalipa Nini Kwa Mshahara wa DC. Huyu Kiumbe Ndio Maana Wakati wa Msiba wa Kitaifa alilia sana Maana alijua ilikuwa ni swala la muda tu na yeye Kukinywea Kikombe. Malipo ni hapa hapa Duniani.
 
View attachment 1821643

Kati ya watu 9 walioshiriki uharamia huu, watatu ni mabaunsa wa Sabaya na wengine ni askari polisi wa kituo cha USA River. Huyu ni Profesa Justine Maeda, amekua Mhadhiri wa chuo kikuu cha UDSM kwa miaka mingi, baadae akateuliwa kuwa mshauri wa Rais Nyerere, na baadae akawa Mkurugenzi wa UNICEF nchini Zimbabwe hadi alipostaafu...
Wapumbavu hao
 
Kama Magufuli aliweza kuingilia account za watu private bank na kudemand hela ziwe freezed, alishindwaje kuflash uchafu wa watu kama Sabaya, Mnyeti na Makonda? System ilifail wapi?
 
Hii iliwahi rushwa na vyombo vya habari. Nadhani ni ITV.
 
Back
Top Bottom