Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Wa kulaumiwa ni Mufti. Wa kulaumiwa ni viongozi wa dini mambo kama haya yakitokea. Hayo ndiyo mawazo ya Allah. Haitoshi kusema hawa watu wakiambiwa kitu hawasikii.
Halafu unyama kama huu ukitokea,we have to ask if we have got the best type of (State)leaders. We have to ask,if maybe we need a new crop of (political )leaders.
Pope Francis, a few wΓ©eks ago,alikuwa Ana argue,anasema homosexuality should be legalized.
Kwa hiyo,Mwenyezi Mungu akitazama haya mambo toka Mbinguni,anasema,"Mapadre wangu nimewaweka pale,wanafanya kazi gani?"
 
Kweli madem wanazingua ila hebu tupunguze hasira tufikirie kesho yetu sasa mshkaji lazima atafutwe na atashambuliwa sana kwenye mahakama kashaharibu kama unahisi mtu si mwaminifu bora usepe kimya kimya au umrudishe kwao mambo yaishe. Unajiharibia maisha na kazi kisa mwanamke mmoja kesho ungetafuta mwingine wangekuepo kibao wakukupokea. Hasira siku zote haijengi na haina faida yoyote
 
Sikatai ila kila Mmoja na kiwango cha uvumilivu,je ulishajua mwisho wa uvumilivu wako?
Mwisho wa uvumilivu wangu ni kuachana na mwanamke sio kumpiga au kumuua,nawapenda watoto wangu,nawapenda ndugu zangu,siwezi hatarisha maisha yangu kwa mtu niliyekutana naye ukubwani,by the way napenda watoto wangu wawe na mama ambaye yuko mzima kiafya,sio kumtoa macho kwa kosa la uzinzi,badilika kijana!
 
Apigwe tu
Mwanamke ushaolewa unaingiza mabwana ndani kwenye nyumba ya mme wako, ukijua kabisa jamaa kaenda kutafuta
Tena kiongozi wa serikali aliamin jamaa labda atamwogopa
Hata ningekuwa mimi napiga bila kujali napigaje
Huyo mwamba atazuga jela miaka miwili baadaye atatoka
Huyo ndo mwanaume
Maisha yanataka hivo
 
Ukiona mwanaume kanyoosha maguni , sijui siraha .. kaa ukijua ana kichaa huyo πŸ˜…πŸ˜…
Hujawahi kukutana na madhira ya wanawake wewe Mimi nilikuwa nawacheka wanaopiga wanawake siku moja nimejilaza kitandani mwanamke anaongea na simu wanaitana na baby kabisa aisee siku hiyo nilichalaza mikanda nusu ya kuua
 
Yes sura ya upole,sauti ya upole ila ukizingua tutaoneshana kweli labla nife vinginevyo hakuna namna πŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ
Sasa utamfanya nini ambacho ulishindwa kumfanya kipindi anakupa kipigo kitakatifu
 
Hujawahi kukutana na madhira ya wanawake wewe Mimi nilikuwa nawacheka wanaopiga wanawake siku moja nimejilaza kitandani mwanamke anaongea na simu wanaitana na baby kabisa aisee siku hiyo nilichalaza mikanda nusu ya kuua
Haitakaa nikapiga mwanamke, kama kuishi nimeishi nao sana . sijawai hata nyoosha mkono wangu kumtishia mwanamke yoyote.. ni upungufu wa kiume ndio unaweza fanya ukapiga kisichotakiwa kupigwa
 
Hata iwejeeee hata iweje nasema...this is unacceptable....
Jiweke kwny position ya huyo dada utobolewe jicho na kutolewa meno bila ganzi hivi mmefikiria kweli??? Uwiiiiiii
Ila kuingiza mwanaume kwenye nyumba yake ndo inakubaliwa walikosa hata hela ya lodge
 
Mshikaji hajafanya poa.....ila ni kweli huyu manzi analiwa sana na wana.....na tuhuma anazotuhumiwa nazo na mwana ni za kweli.....basing on muonekano wa pisi enyewe🀣🀣🀣
 
Hatariii,angemkutaa Mjomba mwenyekiiti wa CCM si ingetokea ninii......
Hata angemkuta pengine wasingegombana kwa sababu hata huyu mume mtu ni magamba pia.. kwa hiyo wote ni dugu moja... wangeambiana tu kuwa kizuri kula ndugu yako... πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…