Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Omba amani , na kisasi hakijawahi mwacha mtu salama.. Ukipigwa we ondoka hujui utakapotokea.. Ni ushauri
Yaani nipigwe harafu niondoke yes naweza kwenda ila nitarudi kwa ajili ya kulipa mara tatu ya niliotendewa.
 
Angempiga ngumi meno yakatoka sawa, ila hiyo ya kuchukua plaiz na kupunguza meno asipofungwa na kama huyo dada ndugu zake wasipolipiza basi huyo mwanamke atakuwa hapendwi kabisa na jamii hata ndugu zake.
Unajua ni tendo la kigaidi sana kumtoa mtu meno kwa kutumia pliers tena bila ganzi. Bro hivi unaelewa yale maumivu jino linapovunjwa. Huyo dada anaweza hata pata damage katika mfumo wake wa fahamu.

Natumai ustawi wa jamii kupitia waziri wake watatoa tamko na kukemea hili tukio.

Nimeumia na kumstaajabu sana huyu mwamba, katumia nguvu nyingi sana kusolve tatizo dogo la maumivu ya moyo. Wanaume huwa hatuendekezi jazba kiasi hiki.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Jamanii mtu wa hivi hata kama akitoka baada ya kuisha kifungo mimi sitakubali nitahakikisha na yeye anakuwa shoga kwa gharama yoyote ile haiwezekani mimi anipe ulemavu yeye awe sawa.
Unakuwa umeshamsamehe halafu unakuwa unakuwa upo tayari kurudiana nae mjenge upya ndoa yenu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Sijapendezwa na reaction ya mwanamme juu ya mke wake,njia nzuri ni kuachna ili watoto waendelee kuwa na baba na mama wenye siha njema.Niko katika ndoa kwa zaidi ya miaka kumi,sijawahi waza kumpiga mke wangu,naomba sana mungu azidi kunisimamia nisijefanya upuuzi kama wa huyu jamaa.

Nadhani njia nzuri kwa wanandoa ukiona mkeo anachepuka kama huwezi vumilia peaneni taraka ili watoto waendelee kupata malezi ya baba na mama,huyu jamaa aliyepiga mke anaenda kupoteza muda wake jera kwa upuuzi kabisa.

Mimi huwachukulia hawa watu wanaowajeruji hadi kuwaachia ulemavu wenza wao na hata wale wanaowauwa wenza wao kwa sababu za wivu wakimapenzi ni watu wabinafsi , wasiojari masrahi ya watu wengine,hebu chukulia una watoto,ndugu zako pia wanakutegemea sasa unakuja haribu future ya watoto wako kwa sababu ya mtu mlo kutana mkiwa watu wazima,unaleta huzuni kwa ndugu zako kwa jambo la kipuuzi kabisa, mwanamke mzinzi ni wakuachana naye nasio kumjeruhi au kumuua.ticha kila mwaka anamwaga wanawake wengi uraiani,si angefukuza Huyo mke akaoa mtoto mbichi tu

Waaume wenzangu tujifunze kuhandle hasra na busara zitawale sana
Hakuna aliewahi kufaulu mtihani wa ndoa au mahusiano,it's just inatokea upande Mmoja unakubali unaumia sana na mwingine una survive,hivyo usiweke reference yako kama mtaalamu,we both know that these issues remains purely subjective.

Ukiona wawili wamedumu basi uelewe Kuna mmoj amekubaki kuwa victimized Kwa namna yeyote mambo yaende.Ndoa ni utumwa na usijaribu kujisifu hapa kwamba una miaka kumi.Whatever circumstances you are going through its you and your family and prolly nobody knows or even cares.

The bottom line is...." everybody is different, you won't know how you react
Til you are in that position, and that's an actual fact
The hearts of men change as time goes on"

Period.
 
Unajua ni tendo la kigaidi sana kumtoa mtu meno kwa kutumia pliers tena bila ganzi. Bro hivi unaelewa yale maumivu jino linapovunjwa. Huyo dada anaweza hata pata damage katika mfumo wake wa fahamu.

Natumai ustawi wa jamii kupitia waziri wake watatoa tamko na kukemea hili tukio.

Nimeumia na kumstaajabu sana huyu mwamba, katumia nguvu nyingi sana kusolve tatizo dogo la maumivu ya moyo. Wanaume huwa hatuendekezi jazba kiasi hiki.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Huyo binti kupoteza fahamu inawezekana ni sababu ya kutolewa meno. Ile pain ni kubwa mno.
 
Back
Top Bottom