mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ndiyo,amtoboe jicho na kumngoa meno na pliersstory ya upande mmoja hii...no comment
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo,amtoboe jicho na kumngoa meno na pliersstory ya upande mmoja hii...no comment
Kama tunajikita kwenye imani sikupingi boss, binafsi naweza sema naamini aliombewa tu meno yakang'ooka. Ila kwa mujibu wa mleta taarifa aling'olewa na kifaa.Mimi siamini alingolewa meno na spana sijui plaizi bana,kipigo na ngumi kapewa. pole sana Dada sema huruma umepungua kidogo baada ya kusikia Baba yake mwenywe akimuita malaya kwa lugha ya kistaaarabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatariii,angemkutaa Mjomba mwenyekiiti wa CCM si ingetokea ninii......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh! Mkuu ntake radhi mie Mwanaume Haswaaa
Unadhani mambo ya mapenzi sio ya kuyawekea dhamanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya siku kadhaa utasikia kesi imekwisha na mama watoto karudiana na Mme wake! Yetu macho! [emoji1787][emoji23][emoji28]
Khaaaaah wee tenaaa?? UwiiiiihJamanii mtu wa hivi hata kama akitoka baada ya kuisha kifungo mimi sitakubali nitahakikisha na yeye anakuwa shoga kwa gharama yoyote ile haiwezekani mimi anipe ulemavu yeye awe sawa.
Baada ya siku kadhaa utasikia kesi imekwisha na mama watoto karudiana na Mme wake! Yetu macho! 🤣😂😅
....Sawa, Sometimes Wanazingua Sana,...Lakini Smuachane Kwa Amani, Kila Mtu ashike Hamsini zake? Kipigo Cha Nini ???...Hawa wanawake usipende kuwatetea 100% sometime wanazingua wazi wawzi
Kumpiga au kumuua mwenza wako ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha lami,periodHakuna aliewahi kufaulu mtihani wa ndoa au mahusiano,it's just inatokea upande Mmoja unakubali unaumia sana na mwingine una survive,hivyo usiweke reference yako kama mtaalamu,we both know that these issues remains purely subjective.
Ukiona wawili wamedumu basi uelewe Kuna mmoj amekubaki kuwa victimized Kwa namna yeyote mambo yaende.Ndoa ni utumwa na usijaribu kujisifu hapa kwamba una miaka kumi.Whatever circumstances you are going through its you and your family and prolly nobody knows or even cares.
The bottom line is...." everybody is different, you won't know how you react
Til you are in that position, and that's an actual fact
The hearts of men change as time goes on"
Period.