Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Sababu hujui chanzo bora tukae kimya

Sasa wewe unamwambia mwenzio hajui chanzo, wakati wewe hapo hujui chanzo chake.

Kifupi tu, huyo mwanaume hawezi kuishi na mwanamke yeyote yule, mwanaume hutakiwi kuwa hivyo ndio maana ya uanaume/Rijali. Kumpiga mkeo sio solution, tena kampofua macho na meno akayang'oa. Ndio uanaume huo??? Achukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine.

Nikisema waafrika tumezidi ukatili namaanisha kweli, japo sio waafrika wote makatili.
 
Hujawahi kukutana na madhira ya wanawake wewe Mimi nilikuwa nawacheka wanaopiga wanawake siku moja nimejilaza kitandani mwanamke anaongea na simu wanaitana na baby kabisa aisee siku hiyo nilichalaza mikanda nusu ya kuua
😃😃Alikuzarau mkuu.ila ulifnya vzr najua alikueshimu.
 
Hata mwanamke awe anazingua vp haupaswi kumfanyia hivo, ni ushamba huo.

Kama anazingua piga chini wanawake wapo wengi sana. Sasa ukimfanyia hivo unapata faida gani? Zaidi ya majuto tu.

Hebu fikiria unaenda jela kwa kesi ya kijinga kama hiyo! Ni aibu hata kumuelezea mtu upo gerezani kwa upumbavu huo.

Ndiomana vijana humu wanahamasishana kwenye kampeni yao ya (kataa ndoa) yote haya ni kuwaepuka hao viumbe.

Huyo jamaa ni mshamba tu
 
Sasa wewe unamwambia mwenzio hajui chanzo, wakati wewe hapo hujui chanzo chake.

Kifupi tu, huyo mwanaume hawezi kuishi na mwanamke yeyote yule, mwanaume hutakiwi kuwa hivyo ndio maana ya uanaume/Rijali. Kumpiga mkeo sio solution, tena kampofua macho na meno akayang'oa. Ndio uanaume huo??? Achukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine.

Nikisema waafrika tumezidi ukatili namaanisha kweli, japo sio waafrika wote makatili.
Hao wazungu ndo ukiingiza wanaume kwenye nyumba yake atakuchekea
 
Sasa wewe unamwambia mwenzio hajui chanzo, wakati wewe hapo hujui chanzo chake.

Kifupi tu, huyo mwanaume hawezi kuishi na mwanamke yeyote yule, mwanaume hutakiwi kuwa hivyo ndio maana ya uanaume/Rijali. Kumpiga mkeo sio solution, tena kampofua macho na meno akayang'oa. Ndio uanaume huo??? Achukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine.

Nikisema waafrika tumezidi ukatili namaanisha kweli, japo sio waafrika wote makatili.
Wacha apigwe
Aachwe vipi
 
Alisema Mume wake mara baada ya kufika eneo la nyumbani aliwapigia simu wazazi wake na wazazi wake walipofungua geti walimkuta katika hali mbaya na baadae waliamua kumchukua na asubuhiu alipelekwa hospital ya kaloleni kwa matibabu zaidi.
At least huku kuna ka ukweli stow away
Sasa naamini story niliokota huko mtaa wa 7.
Bado ya mtandaoni ina uwalakini
 
Wacha apigwe
Aachwe vipi

Basi sawa, Afrika=ukatili japo sio wote makatili

Ndugu wa huyo dada baada ya kuona kilichotendeka unadhani nini kitafuata!! Yani dada yako amefanywa unyama huo na kaka zale waangalie tu!!! Aise kama ni mimi basi tu tuyaache
 
Ni jambo la kuaminiwa
JamiiForums12049724.jpg
 
Wewe ni mjinga maana hata kuandika haujui, ila endelea kuchepuka mama , na wewe dawa Yako ipo.
Hata mamako alichepuka akakuzaa ww.ukizan huyo ndo babako unajidanganya siri tunaijua mm na mamako.huyo ulie nae n baba mlez tu . Baba yako halisi ni mm mwanangu
 
Ndo umtie ulemavu. wewe ni choko. Siku ukifumaniwa ukifirwa utafurahi?usimfanyie mtu jambo ambalo ww ukifanyiwa hutofurahi.kama kuachana c wangeachana kistaarabu tu.
Hakuna cha kuachana kistaarabu... na jicho ndo kashatobolewa kama hutaki jiue
 
Mngeanza kubadilika nyie, ukiona mtu hakufai achana nae kumpiga mwanamke ni udhaifu na matusi makubwa kwa mtu anayejiita mwanaume, yaan ukimpiga mwanamke urijali wako umevuka.
Hayo maneno tu,akizingua anapigwa na kitomba tunatomba...
 
Back
Top Bottom