litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 642
- 1,303
Aaah wapi... lazima akizingua apigwe.. ayo ya chakula yatakuja badaeUkiwa na hasira za mkizi utaishia jela na kua kitoweo cha manyapara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wapi... lazima akizingua apigwe.. ayo ya chakula yatakuja badaeUkiwa na hasira za mkizi utaishia jela na kua kitoweo cha manyapara
Coment ya kifurr.3r kutoka kwa Fur3rJamanii mtu wa hivi hata kama akitoka baada ya kuisha kifungo mimi sitakubali nitahakikisha na yeye anakuwa shoga kwa gharama yoyote ile haiwezekani mimi anipe ulemavu yeye awe sawa.
Atampatia wapi ili ampe hiyo sumu? Mbona umejibu kinyonge mzee?Usifanye ivyo, bora mwagie tindikali au mpe sumu afe
Akikatwa kikojoleo basi na hyo dada akatwe matiti yote mawiliHahahahaha akatwe kikojoleo tu kisha akatupwe jela, aishi na hiyo guilty hadi anakufa
Huna jeuri iyo mshamba tu[emoji38]Kwanza ningemuacha asahau hata kwa kumpa mbususu ili ajue yameisha kisha ndo atajua hajui yaani kifo au atoke kwenye kukojoza mpaka kwenye kukojozwa [emoji16][emoji16]
Sura mbovu kinoma[emoji38]Hufananii na visasi kabisa. 🫣
Ila hatofanana na mtobolewa jicho[emoji38][emoji38][emoji38] jicho halirudi ila rinda linarudi... nishawavunja mno watu marinda na yamerudiKenge mwenzio anaenda kua chakla cha nyapara huko, kama una huzuni nae kamsaidie kifungo
Hela yenyewe huna[emoji38][emoji38][emoji38]Hakuna kitu kinashindikana mbele ya pesa.
Kada wa chama cha majambazi atalindwa na chama chake..huyo wahuni wa sinoni enzi zao wangelipa kisasi kibayaMwanamke Mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Jackline Mnkonyi{38} mkazi wa Sombetini Jijini Arusha mei 23 mwaka huu majira ya saa 5 usiku alipata kipigo kikali kutoka kwa mume wake ikiwa ni pamoja na kung’olewa meno mawili na kutobolewa jicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
![]()
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa wazazi wake eneo la Sinoni kata ya Daraja Mbili Jijini Arusha,Jackline alisema kuwa baada ya kupata kipigo hicho alichukuliwa bila kujitambuwa na kupelekwa nyumbani kwa wazazi wake Sinoni na kutupwa getini bila ya kujitambua.View attachment 2635779
Alisema Mume wake mara baada ya kufika eneo la nyumbani aliwapigia simu wazazi wake na wazazi wake walipofungua geti walimkuta katika hali mbaya na baadae waliamua kumchukua na asubuhiu alipelekwa hospital ya kaloleni kwa matibabu zaidi.
Akizungumza Mkasa huo alisema kuwa,mchana wa mei 23 mwaka huu alitembelewa na mjomba wake ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi{CCM} Simiyu aliyetambuliwa kwa jina la Vicent Matai .
![]()
Jackline alisema na kumtaja mume wake kwa jina la ,Isaack Mnyagi Mwalimu na mkazi wa wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro huja baada ya muda wa zaidi ya miezi mitatu na zaidi kuona watoto wawili aliozaa nao na siku hiyo alikuja usiku ghafla.
Alisema alipofika nyumbani Sombetini maajira ya saa 4.45 usiku aligonga mlango na kufunguliwa na watoto lakini hakutaka salamu na kuingia chumbani na alipomfuata alitoka chumbani.
Jackline alipoona hivyo alimuuliza kulikoni alichoambulia ni maneno mazito na matusi na kuulizwa mchana alikuwa na nani na alimjibu kuwa alikuwa na mjomba wake hatua ambayo alikana na kusema kuwa ni mtu wake na huwa wanafanya umalaya hatua ambayo alipinga lakini alijikutaja akipigwa na ‘’mjeledi’’ mgongoni.
![]()
Picha ya Mume wa Jacline aliye mshambulia Mke wake kwa silaa za jadi .
Alisema alijitahidi sana kujieleza lakini ilishindikana na Mume wake Mnyagi alichukua Plaizi kifaa cha gereji na kumwamuru afungue mdomo na kung’olewa jino moja baada ya lingine huku akipata kipigo kikali na kujikuta na maumivu makali hadi jana.
Jackline alisema hatua hiyo aliona kama haitoshi aliamua kuchukua kitu chenye Icha kali na kumtoboa jicho moja ambalo hadi sasa hawezi kuona na kumwambia maneno mazito na mtusi huku akiendelea kupigwa hali iliyomfanya kupoteza fahamu.
Alisema hakujua jinsi alivyofikishwa nyumbani kwa wazazi wake Sinoni Daraja mbili na kutupwa getini kwani nilishtuka nikiwa hospital .
‘’Nimetobolewa jicho na nimeng’olewa meno mawili kwa chombo kinachoitwa Plaiz nina maamuvi makali sana naiomba serikali ichukue hatua dhidi ya mume wake kwani amenifanyia unyama wa hali ya juu’’alisema Jackline
Naye Mzazi wa Jackline,Mzee Elimilis John Mkonyi alisema kuwa baada ya kumpeleka katika hospital ya Rufaa ya Mount Meru na kupata matibabu alikwenda kituo kikuu cha polisi Arusha na kufungua jalada shambuli la kuzulu mwili kesi namba ARS/RB/5416/2023.
![]()
Muonekano wa Jackline kabla ya kupata kipigo kutoka kwa mume wake
HuendaJamaa ni mtu wa kitengo nini ?hiyo torturing sio ya ki-amateur
Hawa wanawake usipende kuwatetea 100% sometime wanazingua wazi wawzi
Du! Kwanini wasingempigia kwanza Huyo mjomba aliyekuwa nae mchana?
Je mume alikurupuka au kuna ukweli? maana mtu anang'olewa jino kwa pliers,kutobolewa jicho ni hatari aisee
Na wanafanana according to pichaDuhh! Matai kumbe ni mjomba wa huyo dada? Matai alikuwa rafiki yangu kipindi niko meatu Simiyu.
Ni katibu wa wazazi CCM wilaya ya meatu.
Nilidhani ni a kina Tata Mura nakugecha ndiyo mabingwa. Angekuwa mkurya ....Mwanamke Mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Jackline Mnkonyi{38} mkazi wa Sombetini Jijini Arusha mei 23 mwaka huu majira ya saa 5 usiku alipata kipigo kikali kutoka kwa mume wake ikiwa ni pamoja na kung’olewa meno mawili na kutobolewa jicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
![]()
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa wazazi wake eneo la Sinoni kata ya Daraja Mbili Jijini Arusha,Jackline alisema kuwa baada ya kupata kipigo hicho alichukuliwa bila kujitambuwa na kupelekwa nyumbani kwa wazazi wake Sinoni na kutupwa getini bila ya kujitambua.View attachment 2635779
Alisema Mume wake mara baada ya kufika eneo la nyumbani aliwapigia simu wazazi wake na wazazi wake walipofungua geti walimkuta katika hali mbaya na baadae waliamua kumchukua na asubuhiu alipelekwa hospital ya kaloleni kwa matibabu zaidi.
Akizungumza Mkasa huo alisema kuwa,mchana wa mei 23 mwaka huu alitembelewa na mjomba wake ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi{CCM} Simiyu aliyetambuliwa kwa jina la Vicent Matai .
![]()
Jackline alisema na kumtaja mume wake kwa jina la ,Isaack Mnyagi Mwalimu na mkazi wa wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro huja baada ya muda wa zaidi ya miezi mitatu na zaidi kuona watoto wawili aliozaa nao na siku hiyo alikuja usiku ghafla.
Alisema alipofika nyumbani Sombetini maajira ya saa 4.45 usiku aligonga mlango na kufunguliwa na watoto lakini hakutaka salamu na kuingia chumbani na alipomfuata alitoka chumbani.
Jackline alipoona hivyo alimuuliza kulikoni alichoambulia ni maneno mazito na matusi na kuulizwa mchana alikuwa na nani na alimjibu kuwa alikuwa na mjomba wake hatua ambayo alikana na kusema kuwa ni mtu wake na huwa wanafanya umalaya hatua ambayo alipinga lakini alijikutaja akipigwa na ‘’mjeledi’’ mgongoni.
![]()
Picha ya Mume wa Jacline aliye mshambulia Mke wake kwa silaa za jadi .
Alisema alijitahidi sana kujieleza lakini ilishindikana na Mume wake Mnyagi alichukua Plaizi kifaa cha gereji na kumwamuru afungue mdomo na kung’olewa jino moja baada ya lingine huku akipata kipigo kikali na kujikuta na maumivu makali hadi jana.
Jackline alisema hatua hiyo aliona kama haitoshi aliamua kuchukua kitu chenye Icha kali na kumtoboa jicho moja ambalo hadi sasa hawezi kuona na kumwambia maneno mazito na mtusi huku akiendelea kupigwa hali iliyomfanya kupoteza fahamu.
Alisema hakujua jinsi alivyofikishwa nyumbani kwa wazazi wake Sinoni Daraja mbili na kutupwa getini kwani nilishtuka nikiwa hospital .
‘’Nimetobolewa jicho na nimeng’olewa meno mawili kwa chombo kinachoitwa Plaiz nina maamuvi makali sana naiomba serikali ichukue hatua dhidi ya mume wake kwani amenifanyia unyama wa hali ya juu’’alisema Jackline
Naye Mzazi wa Jackline,Mzee Elimilis John Mkonyi alisema kuwa baada ya kumpeleka katika hospital ya Rufaa ya Mount Meru na kupata matibabu alikwenda kituo kikuu cha polisi Arusha na kufungua jalada shambuli la kuzulu mwili kesi namba ARS/RB/5416/2023.
![]()
Muonekano wa Jackline kabla ya kupata kipigo kutoka kwa mume wake
Hakuna binti mwenye miaka hiyo mkuu.Khaaa! Binti ana 38?
Nimetobolewa jicho na nimeng’olewa meno mawili kwa chombo kinachoitwa Plaiz
Huyu mwanamke ana 38?Hakuna binti mwenye miaka hiyo mkuu.
Huku mitaani wa miaka hiyo kuna wengine wana wajukuu.
Ndivyo walivyoandika au wewe una miaka yake?Huyu mwanamke ana 38?