Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Sababu hujui chanzo bora tukae kimya
Sasa wewe unamwambia mwenzio hajui chanzo, wakati wewe hapo hujui chanzo chake.
Kifupi tu, huyo mwanaume hawezi kuishi na mwanamke yeyote yule, mwanaume hutakiwi kuwa hivyo ndio maana ya uanaume/Rijali. Kumpiga mkeo sio solution, tena kampofua macho na meno akayang'oa. Ndio uanaume huo??? Achukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine.
Nikisema waafrika tumezidi ukatili namaanisha kweli, japo sio waafrika wote makatili.