Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Jamanii mtu wa hivi hata kama akitoka baada ya kuisha kifungo mimi sitakubali nitahakikisha na yeye anakuwa shoga kwa gharama yoyote ile haiwezekani mimi anipe ulemavu yeye awe sawa.
Coment ya kifurr.3r kutoka kwa Fur3r
 
Kwanza ningemuacha asahau hata kwa kumpa mbususu ili ajue yameisha kisha ndo atajua hajui yaani kifo au atoke kwenye kukojoza mpaka kwenye kukojozwa [emoji16][emoji16]
Huna jeuri iyo mshamba tu[emoji38]
 
Kenge mwenzio anaenda kua chakla cha nyapara huko, kama una huzuni nae kamsaidie kifungo
Ila hatofanana na mtobolewa jicho[emoji38][emoji38][emoji38] jicho halirudi ila rinda linarudi... nishawavunja mno watu marinda na yamerudi
 
Kada wa chama cha majambazi atalindwa na chama chake..huyo wahuni wa sinoni enzi zao wangelipa kisasi kibaya
 
Du! Kwanini wasingempigia kwanza Huyo mjomba aliyekuwa nae mchana?

Je mume alikurupuka au kuna ukweli? maana mtu anang'olewa jino kwa pliers,kutobolewa jicho ni hatari aisee

hata kama kuna ukweli mamlka ya kufanya aliyoyafanya ameyapata wapi? hii nchi watu wamkuwa kama wanyama pori
 
Nilidhani ni a kina Tata Mura nakugecha ndiyo mabingwa. Angekuwa mkurya ....

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…