Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Nawaza tuu kwa sauti....
Kwani hii ni mara yake ya kwanza kupigwa kiasi hiko??? Maana kwa kupigwa huku huyu mwanaume lazima ni mpigaji tuuu...mmh Mungu ampoje huyu bidada lakini ndo tayari ashapata ulemavu ....
 
Hata kama mwanamke alikuwa analiwa mchana kutwa adhabu aliyopewa ni kubwa na ya kihuni sana.

Huyo mwalimu kazi imeshaota mbawa na ataenda kupumuliwa kisogoni huko jela.

Wivu wa kingese ukomeshwe kwa nguvu zote.
 
Ndio hadi kufikia huku? Muache aende zake akatafunwe mbususu yake huko.

Kuna nyakati sisi wanaume tusiendekeze sana haya mambo, umalizie maisha yako jela kisa mwanamke asiyejitambua.
 
Tubadilike kitu gani ambacho nyinyi hamna kwanza siku zote Mwanaume mpigaji ana kasoro kupiga mtu kwake anaona kama tiba.
kama mtu ana kasoro mwambie na kama hawezi kuwa unavyotaka bora muachane, kuliko mwisho wa siku yanakuja tokea majanga. Mapenzi & mahusiano ni ridhaa na si utumwa.
 
Huyu mtuhumiwa atakuwa ni chadema, pengine alikerwa kwa kupata mgeni rasmi kwake mjomba ccm,

kwahiyo ni masuala ya siasa, na siyo wivu wa mapenzi.... 😁😃
 
Story ya upande mmoja hii na ni wazi kaficha mengi sana.
Si ajabu alilikuta njemba humo ndani ndo hasira zikampanda, hicho kipigo sio cha hasira za kuhifadho tangu mchana.

Sema ndo ivo jamaa lazma akanyee debe tu ila story imekua twisted hii.
 
Mmmmmmh hii sasa ishakua tabu vijana tunamikonobmiepesi ya kupiga pasipo kujua kilichobmbele yetu kinachoongoza ni hasira kitu amabacho nikibaya zaidi kwakwer piga vita ukatili mgonjwa pole kwa hilo tatizo lkn pia mkumbuke kua kwa sasa usaliti kwa Dunia yetu ya Leo umekua kipaumbele zaidi watu wamekua sio wakweri ktkt mahusiano kitu ambacho kinapelejea mmbo kama haya hivyo hata polisi kama mnachukua kesi izi mlinganishe mzani uwe sawa sawa kwa wote ili kulinusuru ili sio mnakimbilia upande mmoja huo nao ni unyanyasaji pia
 
Ukweli wa nini kwenye hayo magereza yan unataka kusema huyo mjinga unayemtetea hajafanya hicho alichokifanya? Angekua ni mama ako ametobolewa jicho na kung'olewa meno na baba ako ungesema kua wanawake wamezidi?

Eti kuna mambo unapwaya yaan unataka tutetee ukatili una akili kweli au hujameza dawa leo?
Itoshe kusema siwezi toa maoni kwa njia unayoitaka na wala muda wa kushindana nawe sina.. Kikubwa tujikite kwenye mada itapendeza zaidi.
 
Back
Top Bottom