Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

Mimi siamini alingolewa meno na spana sijui plaizi bana,kipigo na ngumi kapewa. pole sana Dada sema huruma umepungua kidogo baada ya kusikia Baba yake mwenywe akimuita malaya kwa lugha ya kistaaarabu.
Kama tunajikita kwenye imani sikupingi boss, binafsi naweza sema naamini aliombewa tu meno yakang'ooka. Ila kwa mujibu wa mleta taarifa aling'olewa na kifaa.
 
Baada ya siku kadhaa utasikia kesi imekwisha na mama watoto karudiana na Mme wake! Yetu macho! [emoji1787][emoji23][emoji28]
Unadhani mambo ya mapenzi sio ya kuyawekea dhamanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamanii mtu wa hivi hata kama akitoka baada ya kuisha kifungo mimi sitakubali nitahakikisha na yeye anakuwa shoga kwa gharama yoyote ile haiwezekani mimi anipe ulemavu yeye awe sawa.
Khaaaaah wee tenaaa?? Uwiiiiih
 
Duuuuh jamaa apimwe afya ya akili possible dish limeyumba.

Amepitiliza aiseee hadi kung'oa meno kama wasiojulikana na kutoa jicho kama scorpion!
 
Hiyo picha yake ya mwisho na pozi la vidole viwili kwa asilimia kubwa wanawake wanaopigaga picha hivyo ni wasumbufu kwenye mahusiano. Tamaa ni nyingi mno. Though mwamba hajafanya poa kumpiga.
 
Mke mwenyewe ana tatto .any way uyu mme japo na yeye atakua wana fanana..ina bidi ateswe vikali kwanza huu ni unyama .kulia lia kisa li mtu ulio kutana nalo ukubwani
 
Kuna watu sijui niseme ulimbukeni au vipi wivu gani wakipuuzi huu,haya sasa umemtia mtoto wa watu ulemavu, hasira hasara!
 
Kumpiga au kumuua mwenza wako ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha lami,period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…