Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Kwa nini wakili amleweshe kijana hadi asijitambue kama wanajuana kuhusu huo mchezo?
Yaweza kuwa aliigiza kupoteza fahamu.
Mtu akichanganyiwa pombe na madawa ya kulevya hupoteza net work muda mrefu sana, kwa muda mfupi huo asingeamka.

Nakumbuka kulikuwa na jamaa moja punga, lilikuwa linakunywa pombe linaigiza kupoteza fahamu ili wahuni walishughulikie.

Na kweli mtego ulikuwa ukinasa vuzuri tyuu.

Nina mashaka sana na utimamu wa ulijari wa huyo boda boda.
 
Ina walakini kwasababu aliyehusika ni BENSON, ingekuwa muhusika ni ABDALLAH wala usingeona uwalakini
 
Wanasema kichwa cha chini kikisimama chajuu hakifanyi kazi
 
Pole sana mawakili wasomi Pascal Mayalla Petro E. Mselewa kwa tasnia yenu kupakwa matope
 
Shida ni uadilifu, uaminifu, kumcha Mungu kwa dhati. Kujua kusudi la Mungu kwa wanaume, wanawake, viumbe vyake vyote duniani.

Video, mitandao, webisites inabidi zithibitiwe na serikali vyote vinayohamasisha ulawiti, gay, ufirauni, ubakaji vizuiwe, visionekane.
 
Mmmh
Kwamba alikuywa mpk akazima?
Au alimwekea kitu?
Na km aliofanya hivyo,how come amfungulie kaka mtu kirahisi tu,hakuogopa?
Nina maswali mengi , sielewi 🤷
Safari 5 kubwa TU zinatosha kukuangusha km sio Mlevi konkodi
 
Huwa na jiulizaga inakuwaje mpka unaanza kutamani inye ya mwanaume mwenzako
Juzi jamaa kaleta Uzi humu wa wanaume kulala kitanda kimoja kapondwa weee

Haya Jibu hilo hapo ukilewa mwenzio anakuingizia mkia
 
Wenda hakimu anachafuliwa tu ,lbda Kuna kesi amegoma kupokea rushwa Sasa wanamuwekeaaa mitego ya namna hyo

Miak 29 uulawitiwe
Endeleeni hivyo hivyo ya kisema huenda....huku watu wakizidi kufilw na kfln

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…