Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Wanajuana kwanza 32-29 yrs hapo unanunuliwaje pombe hivyo, wanajuana hao.
 
Bia ya Mabingwa hio km sio bingwa lazima utupe kitaulo muhuni akufire
Ukilewa kidogo jamaa anakuwekea madawa. Anakufira. Muhimu humjui mtu mnakutana bar, sio nyumbani kwake au kwako. Mnakutana asubuhi sokoni, dili linaishia palepale.

Ukitaka kunywa pombe unakuwa na ndugu zako pembeni. Pombe ni nini? Inafanya nini kwenye mwili, akili za binadamu?
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi aliyelawitiwa kasema kwenye mahojiano kwamba hii ni mara ya 3 kulawitiwa na Hakimu Ngowi.
Ndio nimesema usipende mazoea na Mwanaume mwenzio atakufira
 
Pole kwa ndugu na jamaa
 
Ona sasa.

Angekuwa anasex na mwanamke wake, hata isingekuwa shida.
 
Hawa watu wa chama tawala wamechanganyikiwa.

Kumbe ndio mambo yao.
Anyways hakuna Kesi hapo. Imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…