Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Kamla Jichopombe sio chai, kwahiyo wakili kamfumua bodaboda malinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamla Jichopombe sio chai, kwahiyo wakili kamfumua bodaboda malinda
Ukinywa Chupa 10 kubwa hunyanyuki unalala hapo hapo km sio Mlevi uliekubuhuWamechafua na bia yetu safari lager
Sijaelewa kwa hio ichukue wanafunzi wa nini fine Arts au Wahasibu?TLS na Judiciary ibadili namna inachukua wanafunzi wa Sheria, sasa kama hakimu ndio anakula tigo, hak i wapi?
Wapelekwe kanisani wakabalikiwewanajuana kitambo sema dili limegundulika na kaKa mtu
Ukinywa Chupa 10 kubwa hunyanyuki unalala hapo hapo km sio Mlevi uliekubuhu
Bia ya Mabingwa hio km sio bingwa lazima utupe kitaulo muhuni akufire.
Kwanini binadamu usiwe na kiasi maisha yako yote, popote. Humjui mtu unakunywa soda tu.
Kujuana wapi? Usipende mazoea na Mwanaume mwenzio atakufiraWanajuana kwanza 32-29 yrs hapo unanunuliwaje pombe hivyo, wanajuana hao.
Ndio maaan akepombe sio chai, kwahiyo wakili kamfumua bodaboda malinda
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi aliyelawitiwa kasema kwenye mahojiano kwamba hii ni mara ya 3 kulawitiwa na Hakimu Ngowi.Kujuana wapi? Usipende mazoea na Mwanaume mwenzio atakufira
Hio ndio Moral of the Story
Ukilewa kidogo jamaa anakuwekea madawa. Anakufira. Muhimu humjui mtu mnakutana bar, sio nyumbani kwake au kwako. Mnakutana asubuhi sokoni, dili linaishia palepale.Bia ya Mabingwa hio km sio bingwa lazima utupe kitaulo muhuni akufire
Ndio nimesema usipende mazoea na Mwanaume mwenzio atakufiraKwa mujibu wa gazeti la Mwananchi aliyelawitiwa kasema kwenye mahojiano kwamba hii ni mara ya 3 kulawitiwa na Hakimu Ngowi.
Pole kwa ndugu na jamaaUkilewa kidogo jamaa anakuwekea madawa. Anakufira. Muhimu humjui mtu mnakutana bar, sio nyumbani kwake au kwako. Mnakutana asubuhi sokoni, dili linaishia palepale.
Ukitaka kunywa pombe unakuwa na ndugu zako pembeni. Pombe ni nini? Inafanya nini kwenye mwili, akili za binadamu?
Unakomesha vipi huu uhuni kitaifa?Pole kwa ndugu na jamaa
Wanaume waache mazoea na wanaume wenzao mazoea yawe na mipaka usipende kitonga kwa Mwanaume mwenzio atakufiraUnakomesha vipi huu uhuni kitaifa?
Kamaanisha hao Waarabu ndio wakina Juma na AbdallahSasa waarabu wananihusu nini? Mi nakwambia ndugu zako kabisa
Leo mnawakana, ila wangeitwa Juma mngeusakama uislam, tunawajua nyieJina kuw la kikristo ndio mkristo, na kila mkristo anakwenda kanisani?
Hawa watu wa chama tawala wamechanganyikiwa.Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha .
Hakimu huyo , ambaye pia ni wakili unaweza kumuona kwenye mfumo wa mawakili, ameacha uwakili hivi miaka ya karibuni na kuwa hakimu.
Kwa mujibu wa chanzo cha Habari wilayani humo,tukio hilo limetokea jana majira ya saa tatu na saa nne usiku nyumbani kwa kijana huyo ambaye hufanyakazi ya kuendesha pikipiki maarufu bodaboda katika eneo la Wasso.
Mtoa taarifa alifafanua kwamba Hakimu huyo ambaye hivi karibuni alihamia kikazi,alionekana majira ya mchana akiwa na kijana huyo na baadaye jioni walienda kunywa pombe nyumbani kwa kijana hiyo ambaye ànaishi chumba kimoja na sebule
Alisema ilipofika majira ya usiku kaka yake na kijana aliyelawitiwa (jina linahifadhiwa) alifika katika nyumbani kwa mdogo wake na kumkuta mdogo wake wakiwa na hakimu wakiendelea kunywa pombe aina ya Safari huku hakimu ndiye aliyekuwa akimnunulia kijana hiyo.
Taarifa inasema kwamba majira ya saa tatu usiku Hakimu alimtuma kaka yake na huyo kijana kwenda kuchukua chakula na wakati aliporejea alikuta mlango umefungwa na kuamua kugonga
"Baada ya kugonga Hakimu alienda kufungua mlango lakini chaajabu alionekama sehemu zake za siri zikiwa Imesimama ndipo kaka yake aliposhtuka na kuamua kuingia chumbani kwa mdogo wake kujua kulikoni na kumkuta akiwa amelala kitandani kifudifudi akiwa utupu hajitambui"alisema mtoa taarifa.
Alisema baada ya tukio hilo aliamua kutoa taarifa kwa watu mbalimbali ndipo hakimu wenzake na mtuhumiw walifika Eneo la tukio na baadaye polisi walikuja na kumkuta kijana hajitambui kitandani na baada ya kumwamsha na kuzinduka alihisi maumivu sehemu zake za haja kubwa ndipo askari hao walipomtia nguvuni mtuhumiwa .
Kijana huyo alipelekwa katika hospitali ya Wasso kwa matibabu na taarifa za daktari zimethibitisha kuwepo na michubuko sehemu za haja kubwa pamoja na mbegu za kiume.
Taarifa zinadai kwamba hakimu hiyo alikuwa na mazoea na kijana hiyo kutokana na kumtuma mara kwa mara ikiwemo kumsafirisha kutoka eneo moja kwenda jingine kwa kutumia pikipiki yake .
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Justin Masejo alipotafutwa alisema bado hajapata taarifa ila anafuatilia tukio hilo na atatoa taarifa.