Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

 
Hata Hakimu ni binadamu kama wengine.
Binadamu hata afikie level kubwa ya madaraka, kipaji, elimu, exposure na mafanikio, kama kuna udhaifu au uchizi ambao anao huwa hautoki.
 
Na atashinda kesi atarudi uraiani
Atarudi kibaruani na ataendelea kuwalawiti watu

Hiyo ndiyo tanzaniaaaaa

Ova
 
Asee wachaga hizi tabia mmetoa wapi...,, tulijua ni mambo ya pwani tu....... Ila dah miaka 29 unavuliwa vyeo kisa bia........ Na mangi kasimamisha kabisa kwa tako la mwanaume mwenzie dah ni shida

Kaacha kabisa na mbegu za kiume..

Hii dunia sijui inaelekea wapi
 
Na atashinda kesi atarudi uraiani
Atarudi kibaruani na ataendelea kuwalawiti watu

Hiyo ndiyo tanzaniaaaaa

Ova
Akishida kesi akarudi uraiani kuendelea kulawiti watu wewe utakuwa wa kwanza kulawitiwa.
 
We unawashwa wewe, wewe ndio wale mnaamka asubuhi mnatafuta bando la kumsifia mama na kumtakia birthday njema wakati Mma Yako mzazi hujawahi kum-wish hata siku moja.
Umemuweka Samia kwenye DP wakati ama yako amepauka kijijini hata mafuta ya nazi ya buku hujawahi kumnunulia.
Naona unaleta mambo za kujuana sana wewe,
 
Back
Top Bottom