Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzoefu unakubali.29 years old tena nyumbani kwako eti uleweshwe ili ubakwe/ kulawitiwa? Think twice.
Logic inakataa.
Ndio sasa ninyi wasomi mgundue, nyie mnakata mauno tu ya miso misondo huku wazungu wanalala maabara?Basha unamgunduwa Kwa kipimo gani?
Basi mwenyewe umefurahiiiiiii😂😂😂😂😂😀Ndugu zako wamepakuana .
Hamna kesi hapo ndugu kwa ndugu😀😀Basi mwenyewe umefurahiiiiiii
Binadamu hata afikie level kubwa ya madaraka, kipaji, elimu, exposure na mafanikio, kama kuna udhaifu au uchizi ambao anao huwa hautoki.Hata Hakimu ni binadamu kama wengine.
Hapo ndio noma😂😂Unashangaa Hakimu, viongozi wa dini je???
Njoo Picnic mwambie Anthony akupe bia kumi nipo counterHuyo mwamba nadhani hajakulia arusha, chuga hatulagi majalo.
Kila nikifikiria hi taarifa hainingii kbsaaHuu ni upuuzi
Asee wachaga hizi tabia mmetoa wapi...,, tulijua ni mambo ya pwani tu....... Ila dah miaka 29 unavuliwa vyeo kisa bia........ Na mangi kasimamisha kabisa kwa tako la mwanaume mwenzie dah ni shida
We umeziona ..au umesoma kiongozi....Wacha kutetea na hizo mbegu we hujaona
Akishida kesi akarudi uraiani kuendelea kulawiti watu wewe utakuwa wa kwanza kulawitiwa.Na atashinda kesi atarudi uraiani
Atarudi kibaruani na ataendelea kuwalawiti watu
Hiyo ndiyo tanzaniaaaaa
Ova
Naona unaleta mambo za kujuana sana wewe,We unawashwa wewe, wewe ndio wale mnaamka asubuhi mnatafuta bando la kumsifia mama na kumtakia birthday njema wakati Mma Yako mzazi hujawahi kum-wish hata siku moja.
Umemuweka Samia kwenye DP wakati ama yako amepauka kijijini hata mafuta ya nazi ya buku hujawahi kumnunulia.