Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Geneva of Africa mnatumia vifodi??
Mnalidhalilisha taifa nyie.
Mnalidhalilisha taifa nyie.
Jiji la Mbeya naona mpk mkuu wa mkoa alienda kuzindua ghorofa ya Kwanza lenye lift mkuu.
Hili jina la Geneva of Africa tulipewa kufarijiwa tu nadhani.
Dar nayo ni jiji letu lkn BBC waliliita ni Kijiji kikubwa cha wavuvi.
Majiji yetu ni changamoto kiaina.