Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

Mzee anatunzwa na mtoto wake wa kike, ambaye mume wake ni askari Polisi alimshawishi wakamuibe mzee nyumbani kwake awe anamtunza, akaanza kupanda mbegu ya tuuze nyumba tukununulie shamba tukujengee huko, mzee akakubali, nyumba imeuzwa kwa 160 mil aliyevunja ni aliyenunua eneo na sio mzee.
(Hii ndio habari kamili toka kwa walio karibu na huyo mzee)
Aisee..
 
Dah mzee kapigwa
 
Mswali
Unamfungia Baba yako ndani kwenye chumba cha giza wiki nzima bila chakula ili afe urithi Nyumba!
Watu wanatafuta ili walee wazazi wao,wengine wanataka kuua wazazi wao ili warithi Nyumba ya mzazi wao!

Mzee Idd ametumia maamuzi ya haraka sana,kwanza angefungua kesi ya watoto wake kujaribu kumuua kwa kumfungia ndani wiki nzima bila chakula,halafu angeweka sawa mambo yake ya mirathi,watoto kuanza kugombea mali za mzazi huku akiwa hai ni dalili ya kujikatia tamaa mapema kutafuta vya
Maswali.
1. Aliyejenga hicho chumba cha Giza ni nani na kwa malengo yapi?
2. Wiki nzima bila chakula?
 
Mzee anatunzwa na mtoto wake wa kike, ambaye mume wake ni askari Polisi alimshawishi wakamuibe mzee nyumbani kwake awe anamtunza, akaanza kupanda mbegu ya tuuze nyumba tukununulie shamba tukujengee huko, mzee akakubali, nyumba imeuzwa kwa 160 mil aliyevunja ni aliyenunua eneo na sio mzee.
(Hii ndio habari kamili toka kwa walio karibu na huyo mzee)
Hizi habari sio kweli acheni mambo ya vjiweni mtoto wakike ndio amemuokoa baba yake
Aliyemfungia ni wakiume na ugomvi ni wa muda mrefu sana
Diwani anakiri hilo
Huwezi kuuza nyumba kiholela
Lazima kata na mtaa wako wajue
Sasa Inamaana Diwani hajui na mashahidi hawajui?
Watoto walitaka kumuua Mzee wao

Diwani anakiri hata usafi wa chumba chake Mzee kina kaa Mwezi hakijafanyiwa usafi. Mzee amekula mavi yake unajua hilo?
 
Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo.

Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula.

Mzee Maganga amebomoa nyumba zake na kuwataka watoto wake wakafanye kazi badala ya kukaa wakimendea urithi.
Huyu mzee ana roho mbaya sana kisha hana hekima...kuliko kuharibu mali angeandika waraka akifa ziwasaidie wenye mahitaji maalum kama yatima nk
 
Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo.

Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula.

Mzee Maganga amebomoa nyumba zake na kuwataka watoto wake wakafanye kazi badala ya kukaa wakimendea urithi.
Mzee kwa umri wake ameona hana cha kupoteza.
 
Back
Top Bottom