Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

Unamfungia Baba yako ndani kwenye chumba cha giza wiki nzima bila chakula ili afe urithi Nyumba!
Watu wanatafuta ili walee wazazi wao,wengine wanataka kuua wazazi wao ili warithi Nyumba ya mzazi wao!

Mzee Idd ametumia maamuzi ya haraka sana,kwanza angefungua kesi ya watoto wake kujaribu kumuua kwa kumfungia ndani wiki nzima bila chakula,halafu angeweka sawa mambo yake ya mirathi,watoto kuanza kugombea mali za mzazi huku akiwa hai ni dalili ya kujikatia tamaa mapema kutafuta vyao.
Inasikitisha mno
 
Mzee kachemsha,angeuza akahamia mjini kula bata na ashura
Kweli kabisa, hapo anajikomoa. Yupo mmoja aliuza mali yake kwa vile alijua atakufa karibuni na hakutaka wanawe kupata urithi pasipo kuufanyia kazi. Mungu alivyo mwema akamuongezea miaka ya kuishi na hivyo pesa aliyouzia ikawa imekwisha naye yu hai bado. Akajuta sana na kulia kwa uchungu kwani wanaye walimkaushia kwa vile ubaya aliuanza yeye.
 
Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo.

Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula.

Mzee Maganga amebomoa nyumba zake na kuwataka watoto wake wakafanye kazi badala ya kukaa wakimendea urithi.
Safi sana
 
Maisha yana siri sana
 
Sishangai coz kwa aina ya vilevi vilivyopo chugga haya mambo ni muda tu yatafanywa shm nyng za huko
 
Watoto wa kike sasa hivi wanabeba majukumu ya watoto wa kiume.Ukiwa na mtoto wa kike jua huko salama.Mzee wetu aliona bora Le mutuz angerudisha faili na Mwele angebaki Ila hamna namna.
🤣🤣
 
Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo.

Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula.

Mzee Maganga amebomoa nyumba zake na kuwataka watoto wake wakafanye kazi badala ya kukaa wakimendea urithi.
si bora andeziuza akae ale mpunga
 
Hizo nyumba huenda si zake ni zilijengwa na mama. Hizi ni akili za marioo wakizeeka. Nyumba uliyolipia tofali kwa tofali huwezi bomoa kiwepesi.
Ni rahisi sana kuyaandika haya ila ukiuvaa uhusika wa huyo mzee utaona uchungu alioupata.
baadhi ya mitoto ya chuga + bangi na pombe wengi hawana ubavu wa kupambana kama ilivyokuwa zamani.
 
Back
Top Bottom