Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashura tena ndo naniMzee kachemsha,angeuza akahamia mjini kula bata na ashura
Mzee wa heat ✓Q = m•C•∆T
Mke mdogo wa Mh Diwani wa Kawe Ukwamani huko bondeniiiAshura tena ndo nani
Mzee ana umri wa miaka 84 huenda ana ki akiba chake sehemu ndiyo maana ameamua hivyo. Wenye hasara ni hao watoto wapuuzi wasiotaka kufanya kazi wanategemea kurithi jasho la baba yao.Ukisikia hasira hasara ndo hapa Sasa
Hizi habari sio kweli acheni mambo ya vjiweni mtoto wakike ndio amemuokoa baba yake
Aliyemfungia ni wakiume na ugomvi ni wa muda mrefu sana
Diwani anakiri hilo
Huwezi kuuza nyumba kiholela
Lazima kata na mtaa wako wajue
Sasa Inamaana Diwani hajui na mashahidi hawajui?
Watoto walitaka kumuua Mzee wao
Diwani anakiri ata usafi wa chumba chake Mzee kina kaa Mwenzi hakijafanyiwa usafi Mzee amekula mavi yake unajua hilo?
Hana upumbavu wowote, kimsingi zile nyumba hazina thamani ya milioni mia mbili chenye thamani pale ni kiwanja tu, hata kama mtu angenunua angevunja ajenge upya. Nyumba ya milioni mia mbili inavunjwa kwa sururu? Na nyundo?Cha ajabu watu mnamsifia.
Hasira hasara.
Angeombea hata mkopo.
Baba mpumbavu watoto wapumbavu.
We una uhakika siyo baraka?Bado kuna wanaodai kuwa Watoto Ni Baraka Kwa Mungu.
Unampangia kwani ulimchangia hata TofaliCha ajabu watu mnamsifia.
Hasira hasara.
Angeombea hata mkopo.
Baba mpumbavu watoto wapumbavu.
Huyu mzee ana roho mbaya sana kisha hana hekima...kuliko kuharibu mali angeandika waraka akifa ziwasaidie wenye mahitaji maalum kama yatima nk
Kuna mjinga mwingine aliwahi kuja hapa Jamii forums naye anadai ana miaka sijui 37 anaomba ushauri kumshitaki babake eti ameuza nyumba na amekataa kugawia fungu lake. Ndo kama huyo mjinga wa Arusha kisa kuna vijifremu anapokea kodi kwa kushirikiana na mdogo wake wa kike kaona njia rahisi nikumfungia mzee ndani bila chakula ili afe warithi mali. Hii laana haitomwacha unamfungia babako ndani mpaka anakula mavi yake, majirani wameona huruma na kumpigia simu binti wa mzee mganga ambaye ni dada wa huyu mpumbavu, binti akaja na mme wake wamevunja mlango na kukuta mzee tayari amepoteza fahamu.Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo.
Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula.
Mzee Maganga amebomoa nyumba zake na kuwataka watoto wake wakafanye kazi badala ya kukaa wakimendea urithi.
Kidimbwi milioni 200 ni mwezi mmoja tu kwa kujibana.Mzee angeuza nyumba af akahamia kidimbwi.
Ukitazama umri wa huyo mzee na hayo maamuzi aliyoyachukua haiwezi kuwa ajabu, ajabu ni wewe kushangaa umri huo huwa wanakuwa na akili za namna gani ama labda haujawahi kukaa na watu wenye umri huo.Atakuwa na shida ya hasira.
Sidhani kama zinafika 200m..maana.mabati yamechoka mno mno...au alimaanisha 20mMkuu hamna kapicha tuone walau kifusi?!!
Mitoto ya late 80s, 90s na early 2000!Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo.
Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula.
Mzee Maganga amebomoa nyumba zake na kuwataka watoto wake wakafanye kazi badala ya kukaa wakimendea urithi.
Unaombea mkopo kwa biashara ipi kwa mzee kama yuleCha ajabu watu mnamsifia.
Hasira hasara.
Angeombea hata mkopo.
Baba mpumbavu watoto wapumbavu.
We jamaa ww, yaani unaunga mkono mauaji????Watajirahumu kwanini hawakumuua mapema. Vijana wa Arusha ovyo sana.