Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kuna mwingine Chalinze miaka 5 iliyopita aliuza nyumba zake 2 kati ya tatu watoto wakampeleka mahakamani. Watoto wenyewe wakubwa 30+ wanalalamika Mzee kauza nyumba zao eti mama aliwaambia Mali ni za watoto.Mzee angeuza nyumba af akahamia kidimbwi.