Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

Aisee..
 
Dah mzee kapigwa
 
Mswali
Maswali.
1. Aliyejenga hicho chumba cha Giza ni nani na kwa malengo yapi?
2. Wiki nzima bila chakula?
 
Hizi habari sio kweli acheni mambo ya vjiweni mtoto wakike ndio amemuokoa baba yake
Aliyemfungia ni wakiume na ugomvi ni wa muda mrefu sana
Diwani anakiri hilo
Huwezi kuuza nyumba kiholela
Lazima kata na mtaa wako wajue
Sasa Inamaana Diwani hajui na mashahidi hawajui?
Watoto walitaka kumuua Mzee wao

Diwani anakiri hata usafi wa chumba chake Mzee kina kaa Mwezi hakijafanyiwa usafi. Mzee amekula mavi yake unajua hilo?
 
Huyu mzee ana roho mbaya sana kisha hana hekima...kuliko kuharibu mali angeandika waraka akifa ziwasaidie wenye mahitaji maalum kama yatima nk
 
Mzee kwa umri wake ameona hana cha kupoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…