Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.
Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayoipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi asiyefaa.
Pia nimekuwa nikijiuliza sana hawa watu kwanini wao wanaamini wao ni special sana kuliko Watanzania wengine na wao wanapaswa kuwa kipaumbele na waangaliwe na wasikilizwe kwanza kabla ya Watanzania wengine?
Viongozi wachache sana walioteuliwa kuongoza Mikoa hiyo miwili wakaondoka salama bila kashfa au kutuhumiwa sana.
Kwenye hii Mikoa kama Kiongozi Mkuu asipo kuwa makini anaweza akawa anabadilisha Viongozi kila leo.
Wasalaaam