Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😅😅mm nafikili sehem zenye baridi uwezo wa akili unakua juu kuliko sehem zenye joto.
ukianangalia kwa makini utaona watu wanaioshi maeneo kama arusha,kilimanjaro,mbeya,iringa .
akili zao tofauti kabisa na msitari wenye joto hasa wa katikati ya tanzania.
Muendelezo ....wa ujinga. Siwezi panic kwa mchumba kama wewe never, nimeona we ndio ushapanic kwa kuanza na chasaka ni panic tosha.Chasaka umepaniki! Kwani uongo? Kabila zingine Tena zile ambazo atleast zimeadvance km Nyakyusa,Haya bado wakifika uchagani wanakiri mchaga amesonga mbele! Kubali tu wala huugui!
We umekariri tu hakuna maendeleo ya maana huko.Acha ujinga we , lifestyle ya uchagani ni sawa na kule kwenu porini na nyumba za tembe?
Hujatembea uchagani kidogo ni tofauti huwezi fananisha na singida,Namanyere,mahuta shimoni.
Hata Wahaya,Wanyakyusa wakifika uchagani wanakubali wamezidiwa.
Ukweli utabaki kuwa ukweli.Kama kwenu hakuna Maendeleo huwezi kuyaona au kuyajua maendeleo kwa sababu mentality yako ni ya umaskini.
Taja huko kwenu tufahamu unakotokea halafu tulinganishe.Hilo tu.We umekariri tu hakuna maendeleo ya maana huko.
Muendelezo ....wa ujinga. Siwezi panic kwa mchumba kama wewe never, nimeona we ndio ushapanic kwa kuanza na chasaka ni panic tosha.
Aaawapi!! ukabila na kijicho ndicho kinasumbua majimbo hayo
Hawa ni mazezeta tu.Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.
Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayoipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi asiyefaa.
Pia nimekuwa nikijiuliza sana hawa watu kwanini wao wanaamini wao ni special sana kuliko Watanzania wengine na wao wanapaswa kuwa kipaumbele na waangaliwe na wasikilizwe kwanza kabla ya Watanzania wengine?
Viongozi wachache sana walioteuliwa kuongoza Mikoa hiyo miwili wakaondoka salama bila kashfa au kutuhumiwa sana.
Kwenye hii Mikoa kama Kiongozi Mkuu asipo kuwa makini anaweza akawa anabadilisha Viongozi kila leo.
Wasalaaam
Kauli za kibaguzi ndio siafiki natokea Tarakea.Pole Mkuu,kwan kwenu ni wapi tulinganishe.Ndiyo ubishi utaisha.Chasaka umepaniki hadi matusi 😂😂