Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

Pia nimekuwa nikijiuliza sana hawa watu kwanini wao wana amini wao ni special sana kuliko watanzania wengine na wao wanapaswa kuwa kipaumbele na waangaliwe na wasikilizwe kwanza kabla ya watanzania wengine?

Hawa watu wanajiytambua na ndio maana " ni Spesho" huwezi sikia Profesa mchaga anasema kaokotwa jalalani, upumbav mtupu.

askofu shoo alimwambia Bashite aache kujifutua kama kifutu, where is Bashite? shooalikuwa anampinga dikteta wazi wazi wakati wengine wa mikoa mingine wakisema Mungu amemshusha Dikteta kututoa misri kwenda Israel Nchi ya ahadi.
Ujinga mtupu!!
 
Tunazungumzia ukabila wewe unaandika auditing! CAG anakagua ukabila na upendeleo?
sijakujib ww. ila nimemjibu mtoa mada alie dai wachaga wanawekwa mahali ili wapige pesa. lakin mm nimpa mfano wa shirika na wachaga wenye clean records.
 
Acha ujinga sabaya hajatendea haki na amevunja Sheria, toka lini kuvunja sheria kukahusika na kabila, no one is above the law, yoyote anayeharibu sheria afikishwe kwenye vyombo vya sheria
Aaah! Uko chini ya kiwango cha mjadala huu.
 
sijakujib ww. ila nimemjibu mtoa mada alie dai wachaga wanawekwa mahali ili wapige pesa. lakin mm nimpa mfano wa shirika na wachaga wenye clean records.
No! Soma tena uone jawabu lako liko kwenye hoja gani. Siyo hayo uliyoandika.
 
Akili Mingi so watawala wajinga hawawakubali mambo kama hayo nafanyie Songea huko ambako kwao ccm wanaona kama mungu
Nakuona kama Bwege! Yaani una maana Songea ndo unaamini ni wajinga? Moshi kuipenda CHADEMA ndo ujanja? Ukabila tu. Kwa akili hii, utasubili miaka kuifanya CHADEMA itawale nchi hii. Almost 30 years bado munahangaika na ukabila ndani ya chama. Ingekuwa ni TANU ya mwaka 1954, huu ni mwaka 1974, tayari ni chama cha kitaifa.
 
Siku hizi sitaki kabisa mambo ya kuzungumza kwa mafumbo. Una maana hujui ukabila wa kanda hiyo? Tatizo umekosea kidogo; Tatizo liko Kilimanjaro na ni zile wilaya za uchagani. Mbona hili tumelijadili miaka mingi? Ni wabaguzi tangu kijijini hadi mkoani. Hadi makanisani padri lazima awe mchaga. Nilisoma pale Moshi eti tunatangaziwa kanisani mwenzao kanunua mabasi ya kuelekea Dar na Moro, tumuunge mkono. Waalimu kodisheni magari ya mwenzetu, bhala bhla! za ukabila ni kila kona.

Fika vijiji vya wachaga, angalia waalimu ktk shule za msingi hadi sekondari. Waalimu ni wachaga, hawataki kabila jingine. Angalia watendaji wa vijiji na kata. baada ya hapo sasa kuna wakuu wa wilaya na mkuu wa mkoa. Hawa ni wateule wa rais na wana vyombo vya mabavu. Hawana ubavu nao, lakini wananchi wanawaona kama ni wavamizi. Wanataka nao wawe ni wachaga!! Mpuuzi mmoja akikamatwa na vyombo husika kelele zinapigwa toka kwenye paa za nyumba; Tunaonewa! tunanyanyaswa! .......
Pamoja na kwamba utatukanwa lakini hiyo hali ndiyo hasa inatawala katika maeneo mengi hata makazini, wana Permanent ajenda ya kuwashambulia, kuwaangusha wale wasiokuwa wa kwao. Hii ipo kabisa si wote, lkn wengi wanafanya hivyo waziwazi.

Kuna kiongozi mmoja (Nafikiri anaitwa Songambele ama jina kama hilo, alikuwa Mkuu wa Mkoa) alikuwa huko enzi za nyerere nilimwona kwenye Documentary fulani akisema wanakuletea ZAWADI halafu unapigwa picha na kupelekwa mbele eti umepokea RUSHWA, lengo ni kukuangusha. Hivyo uwe makini si huko tu sasa hata wakiwa nje ya huko wanaunda alliance ya kuangusha wasiotoka kwao. POVU RUKSA​
 
Ni majungu na ujuaji mwingi umewajaa.
Hizo area ni special kweli, mila desturi tamia tamaduni hata life style ya mikoa hiyo ni tofauti kabisa na mikoa mingine hawana ubaya na mtu asiye na ubaya nao ila ukileta za kuleta hakuna rangi utaacha kuona kule kunaitwa punda afe mzigo wa bwana ufike hata kama jembe ni butu watu wanalima. Ndiyo maana hata magufuli alikuwa anapaangalia kwa mtindo fulani yani mtu akipalangana na upinzani kanza hizo anapandishwa cheo. Si umeona sabaya halafu si uliona yule mama magufuli alimpiga pini kutoka ACT ili awakoroge upinzani gambo akaletana mbio na lema akawa mkuubwa mkoa sasa unadhani raia hawaoni kule ukienda nenda na heshima zako hakuna mtu ana wenge na mtu hadi ulianzishe
 
Sielewi usomi huo tutauonaje. Kuna mwana-jf aliuliza ilikuwaje Mwamposa akawakusanya 'wasomi' wa Moshi kukanyaga mafuta?
.... those were just a handful with strongly held religious beliefs!
1624274673350.png
 
Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.

Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayoipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi asiyefaa.

Pia nimekuwa nikijiuliza sana hawa watu kwanini wao wanaamini wao ni special sana kuliko Watanzania wengine na wao wanapaswa kuwa kipaumbele na waangaliwe na wasikilizwe kwanza kabla ya Watanzania wengine?

Viongozi wachache sana walioteuliwa kuongoza Mikoa hiyo miwili wakaondoka salama bila kashfa au kutuhumiwa sana.

Kwenye hii Mikoa kama Kiongozi Mkuu asipo kuwa makini anaweza akawa anabadilisha Viongozi kila leo.

Wasalaaam
Mbona hawajamlalamikia mama Mghwira? Mbona hawajamlalamikia RC Kimanta ambaye amestaafu?
 
Hizo area ni special kweli, mila desturi tamia tamaduni hata life style ya mikoa hiyo ni tofauti kabisa na mikoa mingine hawana ubaya na mtu asiye na ubaya nao ila ukileta za kuleta hakuna rangi utaacha kuona kule kunaitwa punda afe mzigo wa bwana ufike hata kama jembe ni butu watu wanalima. Ndiyo maana hata magufuli alikuwa anapaangalia kwa mtindo fulani yani mtu akipalangana na upinzani kanza hizo anapandishwa cheo. Si umeona sabaya halafu si uliona yule mama magufuli alimpiga pini kutoka ACT ili awakoroge upinzani gambo akaletana mbio na lema akawa mkuubwa mkoa sasa unadhani raia hawaoni kule ukienda nenda na heshima zako hakuna mtu ana wenge na mtu hadi ulianzishe
Usiseme huko, sema hapo uchagani. Wachaga wanawaimngiza watu wa Arusha ili kuongeza kelele tu! Imekuwa ni rahisi kuwa na Mbunge mchaga Arusha, lakini mtu wa Arusha hawezi hata kupewa udiwani wilaya yoyote ya wachaga. Tulieni peke yenu na kibano kitawakomesha tu!
 
Wachagga ni wabinafsi, wanafiki, wenye dharau, na wabaguzi sana ...chunguza hata hapa we angalia tu post zao ni rahisi uwatambua utaona .."wanaojitambua", "Akili mingi", " Wenye hela", "ELIMU ELIMU", "Wajanja", "Wasomi wa kweli", "New York ya Africa" na kauli zingine za tambo na kinafiki.
Chasaka umepaniki! Kwani uongo? Kabila zingine Tena zile ambazo atleast zimeadvance km Nyakyusa,Haya bado wakifika uchagani wanakiri mchaga amesonga mbele! Kubali tu wala huugui!
 
Wachagga ni wabinafsi, MKE WANGU NI MCHAGGA HUWA NAONA ELEMENT ZA KIPUUZI SANA. KINACHOMSAIDIA NI KWAKUWA ALIBADILI DINI KUWA MUISLAM NDIO NAKOMAA NAE KIBISHI.
Ila akili zao wanazijua wenyewe.
Funguka kidogo ww chasaka! Au alitaka hela ya kutuma kwao ndiyo nongwa.Lazima awatunze wazazi wake.Nimewaza tu.
 
Wachaga Wala hawapendi kua viongozi, wachaga wanapenda biashara na ni wabunifu.

Katika biashara kunahitaji uthubutu na wachaga ni "risk takers". Wachaga kichwani wapo vizuri na ndo maana unaona hata wazungu walipokuja Tanganyika waliwekeza Sana kwenye Elimu. Na ukumbuke pia wachaga waliwah kuanza siasa na magazeti yao kabla hata ya ukoloni na ndo maana unaona huko walikosambaa Arusha, Kilimanjaro na Dar wakizinguliwa na wabunge wanaweza kuchagua hata opposition bila kuogopa.

Kizuri zaidi wengi wamesoma na pia waliwasomesha watoto wao. Na Wana misimamo hata kwenye maswala ya uongozi ref. Professor Mkenda hakukubali kigwa afanye mambo "sio".

Ni kawaida hapa Africa mtu mwenye mafanikio anazushiwa, ushamba Sana kumwita hustler eti ni Freemason wakati yeye akipambana usiku na mchana wewe umelala. Hii haina tofauti na kwa mambo wachaga wanazushiwa, wao wanapambana na fursa na ubunifu katika KAZI wengine wamelala na kusubiri ajira, matokeo yake mnawaita waizi. Ulishawahi kuibiwa na mchaga nini????

Tukatae tukubali kwa hapa Tanzania mchaga, muhindi na mpemba ndo wanafahamu pesa iko wapi na wataileta kwenye mzunguko. Ukiwazingua hawa pesa lazma ilete tabu. Mchaga, mhindi na mpemba wanafaham biashara mnoooo
Wasichojua hawa chasaka ni kwamba unaweza kujivika uchaga na ukaenda nao sambamba.Badala ya kukaa pembeni na kusema wale wanafiki,wabaguzi, Freemason NK.

Ila ili uweze kufanya hivyo lazima nafsi yako ikiri kuwa hawa wamenizidi,nami napambana.

Usitake kujua mwenzako kafanikiwa kwa njia gani ,bali unatakiwa kuwa impressed na mafanikio yake tu na kutaka ufanane na yy kwa kuongeza juhudi kwa kile unachofanya.
 
Mfano Fred Vunjabei ni MKINGA na mamb za wakinga unazijua,lkn hutakiwi kuwaza hayo,unatakiwa uvutiwe na mafanikio ya Vunjabei,usitake kujua hayo mengine.
 
Yaani nchi hii imejaa majitu majinga sana hivi huo mkoa wa kilimanjaro una nini cha ajabu? Kuna kiwanda cha magari huko? Naona umasikini tu kuanzia same, mwanga ndo kichekesho hata huo mji wa Moshi sioni tofauti mlishakariri mambo ya zamami kila siku kwetu kuna maendeleo. Maendeleo gani hapo yaani bongo hii bado sana ni poverty cycle hakuna lolote.
Acha ujinga we , lifestyle ya uchagani ni sawa na kule kwenu porini na nyumba za tembe?

Hujatembea uchagani kidogo ni tofauti huwezi fananisha na singida,Namanyere,mahuta shimoni.

Hata Wahaya,Wanyakyusa wakifika uchagani wanakubali wamezidiwa.

Ukweli utabaki kuwa ukweli.Kama kwenu hakuna Maendeleo huwezi kuyaona au kuyajua maendeleo kwa sababu mentality yako ni ya umaskini.
 
Back
Top Bottom