Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

kippi warioba wananchi wa vunjo baada ya kuona serikali inawayeyusha barabara wakachanga billions 2 wajenge lami kilomita 3 alitumia nguvu za kila aina kuzuia ujenzi akilazimisha wakabidhi fedha hizo serikalini...WAKUU WA WILAYA WA AINA HIYO UNATAKA WANANCHI WA HUKO WAWAPENDE?
 
Ss tulioko huku tunayajua hayo.Kila anayeletwa huku anakuja kimkakati.Na hata km hajatumwa wakaifika huko hawaheshimu misimsmo ya kisiasa ya wenyeji wanaingia kichwa kichwa ktk mapambano yasiyo na tija.Mfano Jerry Muro,Jambazi Sabaya.

Na wakuu wa wilaya wengi wamekuwa na mawazo kwamba ukipelekwa penye kiongozi wa upinzani basi ili uonekane unatenda ipasavyo basi ni kuadhibu,kuwatengenezea kesi viongoz wa upinzani.

Ni km ujinga fulani hivi,na enzi zae shujaa basi unapandishwa cheo mfano kina Mnyeti,Biyakanwa.
wanapelekwa kilimanjaro kua mkoa lakini mwisho wa siku wanafeli.
 
Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.

Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayo ipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi asiyefaa

Pia nimekuwa nikijiuliza sana hawa watu kwanini wao wana amini wao ni special sana kuliko Watanzania wengine na wao wanapaswa kuwa kipaumbele na waangaliwe na wasikilizwe kwanza kabla ya Watanzania wengine?

Viongozi wachache sana walio teuliwa kuongoza Mikoa hiyo miwili wakaondoka salama bila kashfa au kutuhumiwa sana

Kwenye hii Mikoa kama Kiongozi Mkuu asipo kuwa makini anaweza akawa anabadilisha Viongozi kila leo.

Wasalaaam
Hao wanataka viongozi wanaokumbatia upigaji wao. Wapigaji ni shida
 
Vya Moshi na Arusha ni vikubwa kuliko vya huku mikoani mwetu , nimetua huko kote na ninafahamu, wachaga ni wachagga tu, hata tuwachukie vipi wametutangulia, wanapenda kwao, sasa wangekuwa wametoa rais wa nchi aijui ingekuwaje.
Hiajalishi ni vikubwa kama unavyosema..ukweli ni kuwa sio vya KIMATAIFA bado!
 
Vinazidiwa na hivi hapa Ruangwa , Katavi, Mbeya, Chato, Bukoba, Morogoro, au?
Kuna vingine ni "Air strips" tu na wala sio Airports, mfano hicho cha Morogoro hakina sifa ya kuwa Airport hivi vingine sijawahi viona!
 
umeoa wa nn sasa?
unaoa mke unakuja kumlalamikiabjf kisa kabila,?
ungemuacha au mpe talaka kabisa. wapo watu watamuoa bila malalamiko
Huo ndio ukweli at first nilikuwa mbishi na ingawa nilionywa mno. Kwakuwa alikubali kubadili dini nkasema ntamuoa yeah ila ni ukweli wana tabia za ubinafsi na huwa namchana kila uchao.
 
Huo ndio ukweli at first nilikuwa mbishi na ingawa nilionywa mno. Kwakuwa alikubali kubadili dini nkasema ntamuoa yeah ila ni ukweli wana tabia za ubinafsi na huwa namchana kila uchao.
so yeye ndio sample ya kabila zima?
its so funny tabia za mtu mmoja zinakuwa reflected kabila lote?
Binafsi Nimesoma moshi japo si mchaga.
kwa miaka mingi sana sana
Even kuish mpaka kazi yangu ya kwanza nilianzia huko.

In my own experience na hili kabila. kwanza si wote wenye tabia hizo.. pili hili kabila limegawanyika kwenye jamii.. na kila jamii ina tabia yake.
so itategemea. lakin si wote
 
We unaelewa nn ukiambiwa Sample?
 
Mkuu wewe sio muelewa ka unatetea Utopolo wa sabaya jichunguze kwenye hata maisha yako mtaani
Pole mimi siyo mchaga. Maana Wachaga wote sasa wanaamini Sabaya aliwakosea. Siwezi kuchukia kwa mambo yanayosemwa na wafanyabiashara wakati ahawasemi upuuzi wao mitaani. Acha mahakama ipewe ushahidi. Mijitu mizima inafurahia kabla hata haijaona ushahidi. Clips za video za walalamikaji ndo ushahidi wa mahakamani?
 
Mbona ume describe almost makabila yote.? Mm si mchaga.. lakin natokea kabila moja kubwa hapa nchini.

Nina ndugu wako taasisi nyeti majeshini huko.. na walikuwa na uwezo wa kunichomeka kokote.. lakin hawakufanya hivyo.
Nilisota kitaa miaka na miaka mpaka nikatoka kwa effort zangu mwenyewe.

why? is it because ni wachaga? No

sababu ya tabia zao. Na for the record tu.. ni kuwa ndugu wa makabila mengi hawana msaada likija suala la kutafuta kazi...

Tegemea ndugu usote mpaka ushangae. japo si kwa familia zote
Sema tu kabila lako kwa usahihi!
 
Kuna taasisi kubwa sana hapa nchini. ambayo hivi majuzi imeingia mfumo wa kijeshi.
taasisi hiyo top engineer na afisa manunuzi ni wachaga.. mmoja mkibosho mwingine mmachame.

hawa wazee wanan 20+ years kwenye hizo nafasi bila doa au kesi yoyote.
wamesimamia miradi kibao yanhiyo taasisi.. tena project maalum za ujenzi.. zikaisha kwa wakati.
Audit both internal na external.. mpaka CAG wamepitia hizo hidara.. wanakagua hiyo miradi na hawajapata doa lolote.

how do i know. because i was there.

so issue yako kuwa eti mwenyekit akiwa mchaga mambo hayaendi.. nikwambie tu its down to mtu husika na ethics na performance yake.
Tunazungumzia ukabila wewe unaandika auditing! CAG anakagua ukabila na upendeleo?
 
mkuu huo usomi wa kweli kweli ni usomi gani huo tufafaulie wengine hatuuelewi.
Yaani nchi hii imejaa majitu majinga sana hivi huo mkoa wa kilimanjaro una nini cha ajabu? Kuna kiwanda cha magari huko? Naona umasikini tu kuanzia same, mwanga ndo kichekesho hata huo mji wa Moshi sioni tofauti mlishakariri mambo ya zamami kila siku kwetu kuna maendeleo. Maendeleo gani hapo yaani bongo hii bado sana ni poverty cycle hakuna lolote.
 
Utawaweza matejooo wazee wa sifa za kuvimba.
 
Pole mimi siyo mchaga. Maana Wachaga wote sasa wanaamini Sabaya aliwakosea. Siwezi kuchukia kwa mambo yanayosemwa na wafanyabiashara wakati ahawasemi upuuzi wao mitaani. Acha mahakama ipewe ushahidi. Mijitu mizima inafurahia kabla hata haijaona ushahidi. Clips za video za walalamikaji ndo ushahidi wa mahakamani?
Acha ujinga sabaya hajatendea haki na amevunja Sheria, toka lini kuvunja sheria kukahusika na kabila, no one is above the law, yoyote anayeharibu sheria afikishwe kwenye vyombo vya sheria
 
Back
Top Bottom