Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,125
- 725
Hivi huo muda wakuchunguza mnaupata wapi? Kila mtu ana Mambo yake na familia yake. Yaani waache kushughulikia maisha yao waje wahangaike na familia zenu?Wachagga ni wabinafsi, wanafiki, wenye dharau, na wabaguzi sana ...chunguza hata hapa we angalia tu post zao ni rahisi uwatambua utaona .."wanaojitambua", "Akili mingi", " Wenye hela", "ELIMU ELIMU", "Wajanja", "Wasomi wa kweli", "New York ya Africa" na kauli zingine za tambo na kinafiki.
Tuongee ukweli Magufuli alisema kuhusu maendeleo kaskazini watulie kwanza. Watu wa kaskazini hawakuuliza Wala Nini japo Kodi wanalipa na waliendelea na maisha yao. Je wangeambiwa kabila lako si Vita ingetokea?
Hapo mbinafsi, mnafiki na mwenye dharau ni Nani? Embu mjitagakari.