DujNi ukabilga tu ndio unawasumbua!
Tunaona hata huku makanisani mfano kama dar hasa KKKT akiletwa mchungaji au mwinjilisti mpya utasikia wachaga wanauliza ni kabila gani?
Akiwa si wa kabila lao utaona wanasepa mdogo mdogo wanahama kanisa, akiwa mchaga utaona wanajazana kila jumapili na sadaka na michango watatoa sana.
Kwa ufupi mchaga ni mtu mbinafsi sana.