Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,125
- 725
Na Kigoma ni wachaga? Unataka uungwe mkono wakati Sifa hiyo huna? Eti na Zanzibar ni wachaga.Nadhani hujanielewa namaanisha chama chenye nguvu kinachoongozwa na mtu wa kaskazini utawaona watu wa kaskazini 80% wanajiunga na hicho chama wao huwa hawajiungi na chama chenye nguvu ambae kiongozi wake hatoki kaskazini na ndio maana kwa sasa Watanzania wengi tumewatambua kuwa ndugu zetu wana ukabila kutokana na tabia zao