Kuchitimbo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 439
- 366
Pamoja na kuwa wametangulia mbele kimaendeleo ila wana hali ya ubinafsi,,ukabila na ukanda.
Kwa ambao tulishafanya job katika hiyo mikoa mitatu na Manyara na kutoka kwenda mikoa mingie mna ushahidi,
Ukiwa mkuu wa idara utapigwa vita na watu wa hiyo mikoa mitatui ili tu wakae wao katika idara husika,ila ukitoka mikoa hiyo na kwenda mikoa mingine hutauona huo utoporo.
Swali kwako na kwa Serikali,kwa nini Wachaga,Wamaasai na Wairaki/Wamburu wengi wanakimbia mikoani na kurudi makwao?.
Na kama Serikali ikiamua kufatilia upandandaji wa vyeo katika hii mikoa mitatu pamoja na hifadhi,palipo na wakuu wa idara wa kutoka hii mikoa mitatu kutakuwepo na upendeleo katika kupanda vyeo.
Ushauri,mtu asiwe boss mkoa ama wilaya aliyotokea.