Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Anae manage vyanzo vya maji ni nani? Anae gawa maji mjini ni nani?Kushindwa kuondoa flouride kwenye maji inaonesha kwamba hawana elimu.
Ile dhana ya kwamba eti wameelimika ni urongo mtupu!
Hawajaelimika ndio maana majino mekundu bwashee!
Simple Kupitia idara Ya maji ambayo ni chombo cha serikali. Serikali imeajiri wataalam wa maji..
Ambao kimsingi top management yote si wenyenyeji.
unataka kusema serikali ilifeli?