Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Ikulu wataendelea kuisikia kwenye magazeti.Wao hujiona walizaliwa kutawala tu,tatizo Mungu si Yohana, na wakipata tu tu madaraka hawaachiagi hawa.Haya twende na mifano
Mbatia tangu awe mwenyekiti wa chama chake hajawahi toka.
Mrema tangu awe mwenyekiti hajawahi kuachia kiti pamoja na uzee.
Mbowe tangu awe mwenyekiti hajawahi kuachia wengine.
Halafu uwape urais wa nchi watatawala mpaka wafie Ikulu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Waendelee tu kuuza mitumba kwa kweli...