Ni kwamba, hawa kinachowasumbua ni ukabila, hawata mtu wa kabila lingine awe kiongozi kwao
wanasahau kwamba wao wanamajimbo ambayo wanayaongoza yasiyo ya kwao, Ni wabinafsi sana lakini cha wengine wanakitaka
Wakiendelea, Ni kuwakomesha tu, Kuwakataa kila jimbo wanaloomba kuwa wabunge, Walimtimua, Mkuu wa mkoa Mlongo, walikuwa wakijiapiza kabisa kuwa watamfanyia kitu mbaya, kisa sio mchaga, huyu tena Lengai, kisa siyo mchaga, kuna huyu tena mkuu wa wilaya Arusha tayari washaanza kumfolea
Ninamashaka na mkuu wa mkoa huyu mpya kama atakaa kwa amani, ni eidha afanye wanavyotaka wao, lakini akitaka aongoze kwa mjibu wa utaratibu, sidhani
Wanaongozwa na ukabila hawa watu,