mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Tatizo wanauoga mwingikwa hiyo wananchi wa mikoa mingine hawana akili? hahaha
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wanauoga mwingikwa hiyo wananchi wa mikoa mingine hawana akili? hahaha
Kwa ufahamu wangu ninaona hii mikoa tayari imeshajitambua wanajua mamluki, matapeli na wanafiki. Ukiona hivyo ujue wanaona wapo nyuma kimaendeleo wakati walikuwa waone wanasonga mbele.Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.
Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayo ipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi asiyefaa
Pia nimekuwa nikijiuliza sana hawa watu kwanini wao wana amini wao ni special sana kuliko Watanzania wengine na wao wanapaswa kuwa kipaumbele na waangaliwe na wasikilizwe kwanza kabla ya Watanzania wengine?
Viongozi wachache sana walio teuliwa kuongoza Mikoa hiyo miwili wakaondoka salama bila kashfa au kutuhumiwa sana
Kwenye hii Mikoa kama Kiongozi Mkuu asipo kuwa makini anaweza akawa anabadilisha Viongozi kila leo.
Wasalaaam
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wakati huo wa kikwete bwana Mlongo, si mlimzushia mambo kibaoKabla ya Dikteta mwaka 2015 kiongozi gani alikuwa mbaya kwenye hayo majimbo?
Siyo kweli kwamba kila kiongozi anayepangwa kilimanjaro na Arusha anaonekana mbayaNimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.
Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayo ipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi asiyefaa
Pia nimekuwa nikijiuliza sana hawa watu kwanini wao wana amini wao ni special sana kuliko Watanzania wengine na wao wanapaswa kuwa kipaumbele na waangaliwe na wasikilizwe kwanza kabla ya Watanzania wengine?
Viongozi wachache sana walio teuliwa kuongoza Mikoa hiyo miwili wakaondoka salama bila kashfa au kutuhumiwa sana
Kwenye hii Mikoa kama Kiongozi Mkuu asipo kuwa makini anaweza akawa anabadilisha Viongozi kila leo.
Wasalaaam
Huyu ni leftover ya mwendazakeHata Mtaka alikuwa rafiki wa wengi Hai.
Marehemu Gama alikuwa mkali lakini utaratibu wake ulikuwa mzuri na watu walielewana nae sana.
Wachafuzi.
1. Sabaya
2. Byakanwa
3.Hilda Ngowo(aliwahi kuwa RC)
Na Usipopendwa na Watu hawa, Hupendwi na Tanzania nzima.Siyo kweli kwamba kila kiongozi anayepangwa kilimanjaro na Arusha anaonekana mbaya
Wapo wengi walikuwa viongozi wazuri na mpaka wanaondoka waliacha alama na wanakumbukwa mpaka leo
Mfano Mkuu wa mKoa wa Kilimanjaro enzi hizo
Ammos Makala (sasa ni mkuu wa mkoa Dar)
Said Meck sadick,
Leonidas Gama,
Bila kusaha u mama Anna Mgwira mpaka anaondoka watu hawaamini....
Mkuu wa wilaya ya Hai kpindi hicho
Antony Mtaka (sasa ni RC Dodoma)
Wote hao walikaa na watu vizuri, hawakuwafunga wapinzani kwa makosa ya kubambika,
Walikuwa sio watu wa vituko mbwembwe na kuongea tu ili kujipatia umaarufu majukwaani,
Ukiweza kukaa na watu wa Moshi na Arusha vizuri yaani wanakupenda
Kibaya ni ukianza kujipendekeza ka kukamata watu hovyo,
Kutumia majukwaa kujitafutia umaarufu kwa kauli za vituko na Ucheshi usio na maaana....
Kudharau watu ,
Kila unapokwenda unaambatana na msafara wa magari ya polisi....
Kutaka watu wakuogope wewe kuliko Katiba...
Kutumia changamoto zilizopo kwenye maeneo ya watu kujipatia umaarufu wa kisiasa....
Kupenda kuonekana mbele ya Camera kwenye kila tukio hata ukialikwa kwenye sherehe ya Ubatizo
Kwa matendo kama haya Kilimanjaro au Arusha utadharaulika
Watu watakuwa wanakuogopa tu kwa sababu ya nafasi uliyo nayo ila hawakupendi...
" Watu waliofilisika kiakili au kimawazo, hujihalalisha au huwakilisha hoja zao kwa kutumia Ukabila, Udini na hata Rangi ya ngozi ya mtu ( race)".Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.
Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayo ipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi asiyefaa
Pia nimekuwa nikijiuliza sana hawa watu kwanini wao wana amini wao ni special sana kuliko Watanzania wengine na wao wanapaswa kuwa kipaumbele na waangaliwe na wasikilizwe kwanza kabla ya Watanzania wengine?
Viongozi wachache sana walio teuliwa kuongoza Mikoa hiyo miwili wakaondoka salama bila kashfa au kutuhumiwa sana
Kwenye hii Mikoa kama Kiongozi Mkuu asipo kuwa makini anaweza akawa anabadilisha Viongozi kila leo.
Wasalaaam
Hao jamaa walipaswa wawe Kenya. Ndio kuna siasa zao za kishamba.Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.
Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayo ipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi asiyefaa
Pia nimekuwa nikijiuliza sana hawa watu kwanini wao wana amini wao ni special sana kuliko Watanzania wengine na wao wanapaswa kuwa kipaumbele na waangaliwe na wasikilizwe kwanza kabla ya Watanzania wengine?
Viongozi wachache sana walio teuliwa kuongoza Mikoa hiyo miwili wakaondoka salama bila kashfa au kutuhumiwa sana
Kwenye hii Mikoa kama Kiongozi Mkuu asipo kuwa makini anaweza akawa anabadilisha Viongozi kila leo.
Wasalaaam
Tulia wewe mkata majani.Wachaga watu wabaya Sana katika taifa hili
Wewe unachuki na hayo makabila. Mbona yule mama aliekuwa mkuu wa Mkoa Moshi hakusembuliwa.Ni kwamba, hawa kinachowasumbua ni ukabila, hawata mtu wa kabila lingine awe kiongozi kwao
wanasahau kwamba wao wanamajimbo ambayo wanayaongoza yasiyo ya kwao, Ni wabinafsi sana lakini cha wengine wanakitaka
Wakiendelea, Ni kuwakomesha tu, Kuwakataa kila jimbo wanaloomba kuwa wabunge, Walimtimua, Mkuu wa mkoa Mlongo, walikuwa wakijiapiza kabisa kuwa watamfanyia kitu mbaya, kisa sio mchaga, huyu tena Lengai, kisa siyo mchaga, kuna huyu tena mkuu wa wilaya Arusha tayari washaanza kumfolea
Ninamashaka na mkuu wa mkoa huyu mpya kama atakaa kwa amani, ni eidha afanye wanavyotaka wao, lakini akitaka aongoze kwa mjibu wa utaratibu, sidhani
Wanaongozwa na ukabila hawa watu,
Na mimi nakuuliza ni kwanini, viongozi wengi wanaopangiwa mikoa ya mtwara na lindi na wilaya zake siku zote wanaonekana wazuri sana?tukipata jibu hili tutakuwa na pa kuanziaNimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.
Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayo ipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi asiyefaa
Pia nimekuwa nikijiuliza sana hawa watu kwanini wao wana amini wao ni special sana kuliko Watanzania wengine na wao wanapaswa kuwa kipaumbele na waangaliwe na wasikilizwe kwanza kabla ya Watanzania wengine?
Viongozi wachache sana walio teuliwa kuongoza Mikoa hiyo miwili wakaondoka salama bila kashfa au kutuhumiwa sana
Kwenye hii Mikoa kama Kiongozi Mkuu asipo kuwa makini anaweza akawa anabadilisha Viongozi kila leo.
Wasalaaam
Lengai anatokea wapi? Anatoka Mwanza? Mama Mgwira alikuwa mchaga au mapare? Kwa hiyo Arusha kuna kabila moja tu? Nasubiri majibuAaawapi!! ukabila na kijicho ndicho kinasumbua majimbo hayo
Kwasababu watu wa huku wameenda shule, wanamuingiliano mkubwa na wageni kutoka dunia nzima, wana exposure kubwa ya kutembea sehemu mbalimbali duniani, wamepakana na Kenya, nchi ambayo imeendelea kiuchumi na kisiasa katika Africa mashariki na kati. Hivyo watu wa huku usiwafananishe na watu wa kijijini kwenu.Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.
Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayo ipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi asiyefaa
Pia nimekuwa nikijiuliza sana hawa watu kwanini wao wana amini wao ni special sana kuliko Watanzania wengine na wao wanapaswa kuwa kipaumbele na waangaliwe na wasikilizwe kwanza kabla ya Watanzania wengine?
Viongozi wachache sana walio teuliwa kuongoza Mikoa hiyo miwili wakaondoka salama bila kashfa au kutuhumiwa sana
Kwenye hii Mikoa kama Kiongozi Mkuu asipo kuwa makini anaweza akawa anabadilisha Viongozi kila leo.
Wasalaaam
hakuna cha ukabila wala nn. angalia chart zao kielimu toka uhuru to date.Ni ukabila tu hakuna lingine hapo
Nadhani wangekuwa ni jamii maskini ya kutupwa.. wangekuwa hawana hata mia.. yaani omba omba.Wachaga watu wabaya Sana katika taifa hili
😁😁😁Eti mkata majani..Tulia wewe mkata majani.
Acha wivu kwa kabila lenye standard bora ya maisha hapa Tz japo kwa umaskini huu huu tulionao kama taifa.