Mmmh, wenzio ni special, CHADEMA. Kumbuka Mrema from nowhere akawa mgombea enzi za TLP vyama vingi mwanzoni kabisa ilibidi Nyerere atoke mapumzikoni amnadi Mkapa? Bado akachukua viti vyote Mkoa huo tukajiuliza kulikoni?
Usisahau pia wana Airport 3 za kimataifa, within 45 kilometres of each other, lakini Chato kilometa 400 from anywhere wanasema ukabila? Pia Unajua wana Vyuo Vikuu 5, lakini ukijenga VETA moja tu kwa Kassim Majaliwa wanasema ukabila? Ni wabinafsi mno ona hata vitimaalum.
Mind you, to be very fair, Wachagga wa kawaida ni Watanzania wazuri tu; shida ni ruling elites kina Mbowe. Ya Lowassa hatujayasahau (aliitwa na Maaskofu wa KkKT, yeye na Sumaye), wengi weshawajulia, wakajiona ni ujinga hata Lowassa mwenyewe. Sasa wameabza kumtishia Samia.