Arusha; Rasta Auliwa kinyama Kwa kutobolewa Macho Kisha kutundukwa juu ya Mtii Kwa kutumia mkanda wake.

Arusha bangi nyingi sana, alafu hata kilema wa Arusha anakutisha ukizubaa anakupiga, yaani Arusha naturally watu wakorofi sana sana, yaani wote wakorofi, hata mademu wa Arusha wakorofi sana, yaani warembo sana ila wakorofi, ukizubaa unapigwa chap chap
Inabidi kikosi kazi cha ustawi wa jamii na watu wa vipimo vya akili wakaweke kambi hayo maeneo kujua shida ni nini🤔
 
Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 28 almaarufu Ras Bosco ameuliwa kikatili na watu wasiojulikana na Kisha kuchukua mwili wake na kuutunduka juu ya mti Kwa kutumia mkanda wake.

Tukio Hilo limetokea siku ya Jana katika kata ya Sinoni Mtaa wa Olmorkea jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Mtaa huo Bwana Abdala Yahaya anaeeleza kuwa marehemu huyo wamemkuta ametobolewa macho, pia jeraha katika paji la uso na mikononi ikiwa ni pamoja na kuwa alikuwa ametoka damu nyingi sehemu mbalimbali katika majeraha aliyokuwa nayo.

Tahaaruki hiyo imeacha watu wa maeneo mbali mbali jijini Arusha katika hali ya simanzi kutokana na kifo Cha kinyama alichofanyiwa kijana huyo.

Marehemu ameacha Mke na watoto wawili wadogo wa Kwanza akiwa na Miaka 4 na mtoto wa pili ana umri wa miezi 9.

Baadhi ya majirani wanashikiliwa na jeshi la polisi Kwa uchunguzi

----
Hofu imezidi kutanda katika mtaa wa Olmokea iliyoko kata ya Sinoni baada ya leo tena mwili wa dereva bodaboda aliyefahamika Bosco Massawe ‘Rasta’(43) kukutwa umetundikwa juu ya mti mita chache kutoka nyumba aliyopanga, huku ukiwa na majeraha makubwa.

Mwili wa Bosco umekutwa katika hali hiyo, ikiwa imepita siku mbili tangu mwili wa mtoto Mishel Amani mwenye umri wa miaka miwili na nusu kukutwa umetupwa katika Mto Naura baada ya kutoweka katika mazingira ya kukutatanisha kwa zaidi ya saa 27 akiwa nyumbani kwao mtaa wa Olmokea kata ya Sinoni.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo Julai 30, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema kuwa upelelezi umeanza juu ya tukio hilo.

“Tukio ndio kwanza limetokea leo, na upelelezi ndio kwanza umeanza, bado hatuna taarifa ya kuwapa zaidi ya hayo mliyosikia kwenye tukio” amesema Kamanda Masejo.

Jirani wa marehemu, Amina Issa amesema kuwa saa saba usiku wa kuamkia leo Julai 30 aligongewa na kijana huyo akiomba hifadhi akidai kuwa hayuko sawa na kuna watu wanamfuatilia.

“Mimi niliangaza na sikuona hao watu hivyo nilimuondoa hofu kumwambia akalale wala hakuna shida, nashangaa alfajiri saa kumi anakuja jirani yangu mwingine na kuniambia kuwa Rasi amepotea na mlango wake uko wazi”.

“Tulitoka na kuanza kumtafuta bila mafanikio ikabidi tuite na majirani wengine kuungana ambapo asubuhi hii tuliona matone ya damu na mburuzo kuelekea shambani na katika kufuata ndio tukakuta mwili unaning’inia juu ya mti” amesema.

Amesema kuwa mwili huo uliotundikwa kwa kunyongwa kwa mkanda wake wa suruali, umekutwa ukiwa umetapakaa damu hadi usoni huku akiwa na alama za kuteswa kwa kuchomwa na vitu vyenye ncha kali sehemu mbalimbali.

Mwenyekiti wa mtaa wa Olmokea kata ya Sinoni jijini Arusha, Abdallah Mgongo amesema alivyoona mwili inaonekana marehemu ameuawa na watu kisha kutundikwa ili ionekane amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wake wa kufungia suruali.

“Kutokana na majeraha makubwa ya kuashiria kupigwa sehemu mbalimbali za mwili wake, inaonekana marehemu ameuawa na watu hao ambao bado hawajafahamika na kisha kuburuza mwili wake na kwenda kuutundika juu ya mti ule” amesema.

Nae Emmanuel Mallya ameliomba Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kubaini undani wa tukio hilo la kuuawa kwa kijana huyo ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua za kisheria.

Chanzo: Mwananchi
Makonda ndiyo aliyoiharibu Arusha,halafu unashangaa watu walikuwa wanamsifia kwa kuwapa nafsi wale wavuta bangi,wahuni,wezi,wafanye watakavyo
 
DAH ARUSHA Kona kuelekea nyumbani kwa mzee loningo, nakaribia kanisani la walokole bodaboda na JAMAA MmOJA, Wakamnyanganya DOGO LANGU maji nikayachukua kwa nguvu ILE natega mgongo kusepa nabanwa ukutani mara head mara panga mara, nika PIGWA Sachi, DOGO mbio WAKACHUKUA sim na HELA wakasepa. ALAF NILIKUA na mwanangu anaitwa dangote muda huo huo mianzini na anawajua HAO JAMAA alibaki TU kuwaangalia. Huko kuchomwa kisu JAMBO DOGO SANA matukio nmeyaona kibao kwa macho YANGU mkuu.

Kwishaaa
 
Huo ukanda wa Arusha, Kilimajaro.
kuna shida ya fatherhood/kutokuwepo kwa malezi ya baba.
Vijana wa kike na wa kiume ni wamechanganyikiwa hivi
Kaka mchawi ni HIVI vitu. Pombe zao za kienyeji, bangi, halafu KILA MTU mbabe. Nilishawahi KWENDA kwa mwalimu, MmOJA mwanamke kulima KWENYE shamba lake HAPO mianzini. SASA TUKAWA tunapiga STORI, KAZI ILIKUA NGUMU SANA, mara ghafla akaja mama yake. Mzee SANA kashika panga ETI tunampigia kelele, mwalimu alivomuona yule bibi na panga akatoka nduki, asee Hilo JAMBO kilinishangaza SANA.

Kwishaaaaaaa
 
Inabidi kikosi kazi cha ustawi wa jamii na watu wa vipimo vya akili wakaweke kambi hayo maeneo kujua shida ni nini🤔
Wajipange hasa watanyanganywa SIMU zao na HELA wakienda kichwa kichwa

Kwishaaaaa
 
Jamaa ni wakatili kuliko unavyodhania wanaweka visasi kwa vitu vya hovyo hovyo sana nipo nao sio watu wa kuzoeana nao aisee...
Kaka HAO wanaweza weka urafiki na WEWE, ukaona POA, kumbe wanakuchora wanauza ramani kwa wahuni. Utashangaa wanaijia vyao. be care SANA HAO mazoea futi mia

Kwishaaa
 
Makonda ndiyo aliyoiharibu Arusha,halafu unashangaa watu walikuwa wanamsifia kwa kuwapa nafsi wale wavuta bangi,wahuni,wezi,wafanye watakavyo
No, makonda hajaiharibu ARUSHA, HAO ni watata tangu Miaka hio nakaa KULE. KIFO ni kugusa usela wakijinga KILA MTU msela MPAKA wazee ni wasela. Mkuu bangi, pombe za kienyeji , vijana wanapenda starehe kuliko KAZI mkuu

Kwishaaaa
 
KILA unae kutAna NAE, jicho limemtoka shavu limevimba, khaaa! Unajiuliza Hawa WATU VIPI Hawa NDUGU zetu? SIO kwa HIYO mirungiii

Kwishaaaaaa
 
Naishi na Wazulu SA lakini wapo poa kuliko Waarusha aisee watu wana roho mbaya kama Wanyama.
Jamaa YANGU ALIKUA anaishi sanawari KULE. SASA nikamwambia be care man. JAMAA SIJUI hakuni ELEWA, KILA nikipiga SIMU hapatikani, Baadae akaniuliza we nani? nika shangaa! nikamwambia mkuu umefuta NAMBA YANGU. AKADAI ahh SAMAHAN bhana. SIMU YANGU nilitekwa na wahuni wakasepa nayo, NME renew laini TU.

Kwishaaaa
 
Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 28 almaarufu Ras Bosco ameuliwa kikatili na watu wasiojulikana na Kisha kuchukua mwili wake na kuutunduka juu ya mti Kwa kutumia mkanda wake.

Tukio Hilo limetokea siku ya Jana katika kata ya Sinoni Mtaa wa Olmorkea jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Mtaa huo Bwana Abdala Yahaya anaeeleza kuwa marehemu huyo wamemkuta ametobolewa macho, pia jeraha katika paji la uso na mikononi ikiwa ni pamoja na kuwa alikuwa ametoka damu nyingi sehemu mbalimbali katika majeraha aliyokuwa nayo.

Tahaaruki hiyo imeacha watu wa maeneo mbali mbali jijini Arusha katika hali ya simanzi kutokana na kifo Cha kinyama alichofanyiwa kijana huyo.

Marehemu ameacha Mke na watoto wawili wadogo wa Kwanza akiwa na Miaka 4 na mtoto wa pili ana umri wa miezi 9.

Baadhi ya majirani wanashikiliwa na jeshi la polisi Kwa uchunguzi

----
Hofu imezidi kutanda katika mtaa wa Olmokea iliyoko kata ya Sinoni baada ya leo tena mwili wa dereva bodaboda aliyefahamika Bosco Massawe ‘Rasta’(43) kukutwa umetundikwa juu ya mti mita chache kutoka nyumba aliyopanga, huku ukiwa na majeraha makubwa.

Mwili wa Bosco umekutwa katika hali hiyo, ikiwa imepita siku mbili tangu mwili wa mtoto Mishel Amani mwenye umri wa miaka miwili na nusu kukutwa umetupwa katika Mto Naura baada ya kutoweka katika mazingira ya kukutatanisha kwa zaidi ya saa 27 akiwa nyumbani kwao mtaa wa Olmokea kata ya Sinoni.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo Julai 30, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema kuwa upelelezi umeanza juu ya tukio hilo.

“Tukio ndio kwanza limetokea leo, na upelelezi ndio kwanza umeanza, bado hatuna taarifa ya kuwapa zaidi ya hayo mliyosikia kwenye tukio” amesema Kamanda Masejo.

Jirani wa marehemu, Amina Issa amesema kuwa saa saba usiku wa kuamkia leo Julai 30 aligongewa na kijana huyo akiomba hifadhi akidai kuwa hayuko sawa na kuna watu wanamfuatilia.

“Mimi niliangaza na sikuona hao watu hivyo nilimuondoa hofu kumwambia akalale wala hakuna shida, nashangaa alfajiri saa kumi anakuja jirani yangu mwingine na kuniambia kuwa Rasi amepotea na mlango wake uko wazi”.

“Tulitoka na kuanza kumtafuta bila mafanikio ikabidi tuite na majirani wengine kuungana ambapo asubuhi hii tuliona matone ya damu na mburuzo kuelekea shambani na katika kufuata ndio tukakuta mwili unaning’inia juu ya mti” amesema.

Amesema kuwa mwili huo uliotundikwa kwa kunyongwa kwa mkanda wake wa suruali, umekutwa ukiwa umetapakaa damu hadi usoni huku akiwa na alama za kuteswa kwa kuchomwa na vitu vyenye ncha kali sehemu mbalimbali.

Mwenyekiti wa mtaa wa Olmokea kata ya Sinoni jijini Arusha, Abdallah Mgongo amesema alivyoona mwili inaonekana marehemu ameuawa na watu kisha kutundikwa ili ionekane amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wake wa kufungia suruali.

“Kutokana na majeraha makubwa ya kuashiria kupigwa sehemu mbalimbali za mwili wake, inaonekana marehemu ameuawa na watu hao ambao bado hawajafahamika na kisha kuburuza mwili wake na kwenda kuutundika juu ya mti ule” amesema.

Nae Emmanuel Mallya ameliomba Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kubaini undani wa tukio hilo la kuuawa kwa kijana huyo ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua za kisheria.

Chanzo: Mwananchi
Matukio arusha wanaiga tu kuna mikoa inacheka eti arusha nayo inataka kuchukua kombe la matukio...... sasa sikilizia najua mikoa hii week lazima wailipe arusha

1.geita (HAWA KOMBE LAO MIAKA HII)
2.njombe (WAKO VIZUR SANA KWA KUWEKA HEADING KWA MILLAD AYO)
3.mbeya (MSHINDI WA ALL TIME KWA MATUKIO ILA KASTAAFU ZIKUHIZI kaamua kudeala na ajali za magari kubwa kila mwezi)
4.TARIME( STRIKER WA MATUKIO)
5.IRINGA (HUYU NAE AKIMUAGA KESI ZZ KUBAKA AFU MAHAKIMU WAO HAWANAUTANI NI MWENDO WA 30 TU )
 
Back
Top Bottom