NIKIWA napiga KAZI pale bondeni, karibu kabisa na stendi ya mabasi MJINI kati. Alikuja jamaa kavaa kofia, akapiga MSOSI baada ya kumaliza nikaenda kutoa vyombo nakumpa bills.
JAMAA akalipa fresh. Nikashangaa ananiuliza owa wapi naweza pata gomba? Nikajiuliza SIJUI nimuoneshe kwa maza mmoja bonge miaka hiyo? nikastuka nikamwambia SIJUI. Jamaa akasepa. Nilivo Toka HAPO nikaenda kumwambia dada ANGU MmOJA, ALIKUA cashier akanambia, wewe tulia kabisa.
Ikitokea Kikinuka kule, watasema wewe ndo umechomesha.Hapo ndo mwisho wako utapo fika.Inshort hapo nahisi mambo ya kuchomeshana au kudhurumiana. Kama umesema ni rasi. basi naye uneza Kuta alikua mtata. Ila ndo hivo kuwahiana. Ukienda kule acha urafiki nao hao, hawaeleweki kabisa.
Kwishaaaaa