Arusha; Rasta Auliwa kinyama Kwa kutobolewa Macho Kisha kutundukwa juu ya Mtii Kwa kutumia mkanda wake.

Basi hali ni mbaya huko, mnataka kuigeuza kama Mexico au Colombia kweli?
Mnatundika watu mtini
 
Makonda ndiyo aliyoiharibu Arusha,halafu unashangaa watu walikuwa wanamsifia kwa kuwapa nafsi wale wavuta bangi,wahuni,wezi,wafanye watakavyo
Acha uongo!! Arusha toka kitambo sana ina mambo ya hovyo hovyo shauri ya bange nyingi. USHAMBA mwingi sana huko Arusha halafu wenyewe wanajiona wajanja. Arusha ni mkoa ambao siwazii takuja ishi au kutembelea maishani mwangu, watu ni washamba sana wanaume kwa wanawake .
 
Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 28 almaarufu Ras Bosco ameuliwa kikatili na watu wasiojulikana na Kisha kuchukua mwili wake na kuutunduka juu ya mti Kwa kutumia mkanda wake.

Tukio Hilo limetokea siku ya Jana katika kata ya Sinoni Mtaa wa Olmorkea jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Mtaa huo Bwana Abdala Yahaya anaeeleza kuwa marehemu huyo wamemkuta ametobolewa macho, pia jeraha katika paji la uso na mikononi ikiwa ni pamoja na kuwa alikuwa ametoka damu nyingi sehemu mbalimbali katika majeraha aliyokuwa nayo.

Tahaaruki hiyo imeacha watu wa maeneo mbali mbali jijini Arusha katika hali ya simanzi kutokana na kifo Cha kinyama alichofanyiwa kijana huyo.

Marehemu ameacha Mke na watoto wawili wadogo wa Kwanza akiwa na Miaka 4 na mtoto wa pili ana umri wa miezi 9.

Baadhi ya majirani wanashikiliwa na jeshi la polisi Kwa uchunguzi

----
Hofu imezidi kutanda katika mtaa wa Olmokea iliyoko kata ya Sinoni baada ya leo tena mwili wa dereva bodaboda aliyefahamika Bosco Massawe ‘Rasta’(43) kukutwa umetundikwa juu ya mti mita chache kutoka nyumba aliyopanga, huku ukiwa na majeraha makubwa.

Mwili wa Bosco umekutwa katika hali hiyo, ikiwa imepita siku mbili tangu mwili wa mtoto Mishel Amani mwenye umri wa miaka miwili na nusu kukutwa umetupwa katika Mto Naura baada ya kutoweka katika mazingira ya kukutatanisha kwa zaidi ya saa 27 akiwa nyumbani kwao mtaa wa Olmokea kata ya Sinoni.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo Julai 30, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema kuwa upelelezi umeanza juu ya tukio hilo.

“Tukio ndio kwanza limetokea leo, na upelelezi ndio kwanza umeanza, bado hatuna taarifa ya kuwapa zaidi ya hayo mliyosikia kwenye tukio” amesema Kamanda Masejo.

Jirani wa marehemu, Amina Issa amesema kuwa saa saba usiku wa kuamkia leo Julai 30 aligongewa na kijana huyo akiomba hifadhi akidai kuwa hayuko sawa na kuna watu wanamfuatilia.

“Mimi niliangaza na sikuona hao watu hivyo nilimuondoa hofu kumwambia akalale wala hakuna shida, nashangaa alfajiri saa kumi anakuja jirani yangu mwingine na kuniambia kuwa Rasi amepotea na mlango wake uko wazi”.

“Tulitoka na kuanza kumtafuta bila mafanikio ikabidi tuite na majirani wengine kuungana ambapo asubuhi hii tuliona matone ya damu na mburuzo kuelekea shambani na katika kufuata ndio tukakuta mwili unaning’inia juu ya mti” amesema.

Amesema kuwa mwili huo uliotundikwa kwa kunyongwa kwa mkanda wake wa suruali, umekutwa ukiwa umetapakaa damu hadi usoni huku akiwa na alama za kuteswa kwa kuchomwa na vitu vyenye ncha kali sehemu mbalimbali.

Mwenyekiti wa mtaa wa Olmokea kata ya Sinoni jijini Arusha, Abdallah Mgongo amesema alivyoona mwili inaonekana marehemu ameuawa na watu kisha kutundikwa ili ionekane amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wake wa kufungia suruali.

“Kutokana na majeraha makubwa ya kuashiria kupigwa sehemu mbalimbali za mwili wake, inaonekana marehemu ameuawa na watu hao ambao bado hawajafahamika na kisha kuburuza mwili wake na kwenda kuutundika juu ya mti ule” amesema.

Nae Emmanuel Mallya ameliomba Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kubaini undani wa tukio hilo la kuuawa kwa kijana huyo ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua za kisheria.

Chanzo: Mwananchi
Si hamtaki kuoa? Mtakwisha
 
Arusha mkoa mzuri sana tena kuishi na kula bata-ni vile hujui tu mkuu.

Niko dar now ila nikiamua kupumzika vurumai za kutafuta maisha sababu za umri- narudi zangu Arusha for life.
 
HUYU ATAKUWA ALIWANYOOOSHA SANAA KITAAAAAA
AKAPUMZIKE ANAPOSTAHILII
 
Arusha mkoa mzuri sana tena kuishi na kula bata-ni vile hujui tu mkuu.

Niko dar now ila nikiamua kupumzika vurumai za kutafuta maisha sababu za umri- narudi zangu Arusha for life.
Arusha naifahamu nje ndani, niliwahi kuishi hapo soweto kwenye quarters za AICC, ni mkoa una ukatili mwingi sana na vijana wake wengi bange za kishamba, sikuupenda na sitaki kurejea huko. Ni moja ya mikoa naichukia sana.
 
Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 28 almaarufu Ras Bosco ameuliwa kikatili na watu wasiojulikana na Kisha kuchukua mwili wake na kuutunduka juu ya mti Kwa kutumia mkanda wake.

Tukio Hilo limetokea siku ya Jana katika kata ya Sinoni Mtaa wa Olmorkea jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Mtaa huo Bwana Abdala Yahaya anaeeleza kuwa marehemu huyo wamemkuta ametobolewa macho, pia jeraha katika paji la uso na mikononi ikiwa ni pamoja na kuwa alikuwa ametoka damu nyingi sehemu mbalimbali katika majeraha aliyokuwa nayo.

Tahaaruki hiyo imeacha watu wa maeneo mbali mbali jijini Arusha katika hali ya simanzi kutokana na kifo Cha kinyama alichofanyiwa kijana huyo.

Marehemu ameacha Mke na watoto wawili wadogo wa Kwanza akiwa na Miaka 4 na mtoto wa pili ana umri wa miezi 9.

Baadhi ya majirani wanashikiliwa na jeshi la polisi Kwa uchunguzi

----
Hofu imezidi kutanda katika mtaa wa Olmokea iliyoko kata ya Sinoni baada ya leo tena mwili wa dereva bodaboda aliyefahamika Bosco Massawe ‘Rasta’(43) kukutwa umetundikwa juu ya mti mita chache kutoka nyumba aliyopanga, huku ukiwa na majeraha makubwa.

Mwili wa Bosco umekutwa katika hali hiyo, ikiwa imepita siku mbili tangu mwili wa mtoto Mishel Amani mwenye umri wa miaka miwili na nusu kukutwa umetupwa katika Mto Naura baada ya kutoweka katika mazingira ya kukutatanisha kwa zaidi ya saa 27 akiwa nyumbani kwao mtaa wa Olmokea kata ya Sinoni.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo Julai 30, 2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema kuwa upelelezi umeanza juu ya tukio hilo.

“Tukio ndio kwanza limetokea leo, na upelelezi ndio kwanza umeanza, bado hatuna taarifa ya kuwapa zaidi ya hayo mliyosikia kwenye tukio” amesema Kamanda Masejo.

Jirani wa marehemu, Amina Issa amesema kuwa saa saba usiku wa kuamkia leo Julai 30 aligongewa na kijana huyo akiomba hifadhi akidai kuwa hayuko sawa na kuna watu wanamfuatilia.

“Mimi niliangaza na sikuona hao watu hivyo nilimuondoa hofu kumwambia akalale wala hakuna shida, nashangaa alfajiri saa kumi anakuja jirani yangu mwingine na kuniambia kuwa Rasi amepotea na mlango wake uko wazi”.

“Tulitoka na kuanza kumtafuta bila mafanikio ikabidi tuite na majirani wengine kuungana ambapo asubuhi hii tuliona matone ya damu na mburuzo kuelekea shambani na katika kufuata ndio tukakuta mwili unaning’inia juu ya mti” amesema.

Amesema kuwa mwili huo uliotundikwa kwa kunyongwa kwa mkanda wake wa suruali, umekutwa ukiwa umetapakaa damu hadi usoni huku akiwa na alama za kuteswa kwa kuchomwa na vitu vyenye ncha kali sehemu mbalimbali.

Mwenyekiti wa mtaa wa Olmokea kata ya Sinoni jijini Arusha, Abdallah Mgongo amesema alivyoona mwili inaonekana marehemu ameuawa na watu kisha kutundikwa ili ionekane amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wake wa kufungia suruali.

“Kutokana na majeraha makubwa ya kuashiria kupigwa sehemu mbalimbali za mwili wake, inaonekana marehemu ameuawa na watu hao ambao bado hawajafahamika na kisha kuburuza mwili wake na kwenda kuutundika juu ya mti ule” amesema.

Nae Emmanuel Mallya ameliomba Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kubaini undani wa tukio hilo la kuuawa kwa kijana huyo ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua za kisheria.

Chanzo: Mwananchi
Majiran wanahusika 100%, Kwasababu MTU anateswa lazima apige Yowe.

Kama saa Saba aliwaamsha, saa kumi wanaamshana Et Rasi kapotea.

Kati ya Saa Saba mpaka saa kumi wanaamshana, sidhan kama walikua wamelala usingizi kiasi Cha kutosikia kelele.

Majiran walisikia , ila inshu hapa ni kwamba, Wauaji waliwaambia Mkijichanganya tu na nyie tunawaua.

Yote haya ni sababu Matukio ya Utekaji na Uuaji yamepaliliwa na CCM.
 
Arusha naifahamu nje ndani, niliwahi kuishi hapo soweto kwenye quarters za AICC, ni mkoa una ukatili mwingi sana na vijana wake wengi bange za kishamba, sikuupenda na sitaki kurejea huko. Ni moja ya mikoa naichukia sana.
Mkoa umekaa kila mtu dhuluma dhuluma,miaka fulani ya nyuma nlikuwa naenda sana kufanya biashara huko ila unakuta mnunuzi huyo huyo badaye anakulia timing akupore tena hela
Hivi arusha huko smbdy nyari bado yupo

Ova
 
Back
Top Bottom