Arusha; Rasta Auliwa kinyama Kwa kutobolewa Macho Kisha kutundukwa juu ya Mtii Kwa kutumia mkanda wake.

Arusha; Rasta Auliwa kinyama Kwa kutobolewa Macho Kisha kutundukwa juu ya Mtii Kwa kutumia mkanda wake.

Arusha naifahamu nje ndani, niliwahi kuishi hapo soweto kwenye quarters za AICC, ni mkoa una ukatili mwingi sana na vijana wake wengi bange za kishamba, sikuupenda na sitaki kurejea huko. Ni moja ya mikoa naichukia sana.
Huo mkoa sina nako mzuka kabisa aise,tabia zao wameiga sana kutoka nchi ya kenya
Kupata wanaamini sana kwa dhuluma

Ova
 
Mkoa umekaa kila mtu dhuluma dhuluma,miaka fulani ya nyuma nlikuwa naenda sana kufanya biashara huko ila unakuta mnunuzi huyo huyo badaye anakulia timing akupore tena hela
Hivi arusha huko smbdy nyari bado yupo

Ova
Nyari alikuwa diwani wa kata ya Mbuguni. Alex Massawe (AM) na Babu Sambeke ndo watuhumiwa wakuu wa hiyo michezo ya dhuluma.
 
Nyari alikuwa diwani wa kata ya Mbuguni. Alex Massawe (AM) na Babu Sambeke ndo watuhumiwa wakuu wa hiyo michezo ya dhuluma.
Nyr ashatukosakosa sema alikutana na watu waliyokuwa
Mbele ya muda,alichokuwa anakipanga wenzk tulishakijuwa kitambo sana,alipolala yeye wenzake tuliamka 😄
Nakumbuka alikuja kufungwa wkt fulani

Ova
 
Nyr ashatukosakosa sema alikutana na watu waliyokuwa
Mbele ya muda,alichokuwa anakipanga wenzk tulishakijuwa kitambo sana,alipolala yeye wenzake tuliamka 😄
Nakumbuka alikuja kufungwa wkt fulani

Ova
Huyo alikuwa balaa hafai. Sema matajiri wengi wa Arusha wana makandokando.
 
Mkuu nalijua hilo. Makandokando ninayoongelea ni ule ukatili wa waziwazi. Kwa mfano mtu anakuuzia madini halafu hata hujafika kwako anakutumia majambazi na kukupora madini.
Nimekuelewa kiongozi wangu.
 
Kipindi magufuli anaingia, palitulia mkuu, nakumbuka NILIKUA natembea usiku pekee YANGU. Nashika barabara ya kutoka mianzini mataa nanyoosha MPAKA KULE high way club nakunja Barbara ya KWENDA njiro kupitia golf club nikifika round about ya kijenge NAANZA kurudi town soko la madini naibukia kipong . Azimio.naanza kupandisha kurudi GETO mianzini. Bila SHIDA HAMNA hata kunigwa SAA Saba usiku HIYO.



Kwishaaaaaaa
 
Kuna namna...kama mtu unafuatiliwa ...kuna haja ya kuwataja kwa uliemuomba hifadhi pia..yawezkana walipiga tukio pamoja afu kawazunguka wenzake
 
Au Brazil 😄
Huko nako nyoko nlibahatika
Kutembelea ,kupita kwa maeneo ya magangs,wahuni favela hapo rio aise ilikuwa hatari

Ova
Bora umetoka salama Mkuu, hao sio watu
Ukizingua wanakutundika kwenye bridge

Yaani huko kunatisha
Naona walimfanyia hivyo wanajua ya huko
 
Back
Top Bottom