Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Kwenye Wenye mamlaka ya kutoa risiti za vifo ni RITA, je izo zinazosemekana kuwa ni risiti zina muhuli wa RITA?, kama hakuna, zisiitwe risiti mana ni upotoshaji.
 
Mambo haya yanapatikana kwa familia maskini zinazoamini bila kuwa mshirikina hutoboi.
Angalia nyumba hiyo ni ya mtu fukara
Mkuu kongole. Jamaa anadanganya eti haya mambo ni ya nyumba za matajiri. Ukweli ni kwamba ushirikina na umaskini ni ndugu. Maskini huwa wanajaribu kudanganya kuwa ili uwe tajiri eti mpaka uwe mshirikina. Hii ni namna ya kujiliwaza na kujidanganya na kuwafanya maskini wengi wakimbilie ushirikina.
 
Naona Wachawi wa JF wamevamia huu uzi wanajaribu kutuaminisha kwamba hicho kifo ni cha kawaida,hizo risiti ni za mchango wa msiba ,n.k. Oya acheni kuroga wenzenu nyie mafala,msitake kuhalalisha uchawi wenu hapa.
Noma mwanangu... yani unakuta mtu anapambana kutuaminisha kwamba hili tukio ni la kawaida.. eti ni michango ya rambirambi imewekwa kwenye risiti πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…