Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Nyumba za watu hasa matajiri zina siri nyingi wakuu, unadhani kumiliki pesa ni suala lelemama. Kuna tofauti kubwa sana ya kumiliki pesa na kupata pesa... Kama ni kupata pesa wote tunapata ila kipengele ni pale kwenye kuzimiliki sasa!
Ukifuatilia vizuri taarifa za serial killers wengi hapa nchini, siyo matajiri…. Ni masikini wa kutupwa

I think we are twisting the narrative ili kujipa moyo tu
 
Ukifuatilia vizuri taarifa za serial killers wengi hapa nchini, siyo matajiri…. Ni masikini wa kutupwa

I think we are twisting the narrative ili kujipa moyo tu
Wengi wanawafanyia kazi hao wateja wao......unakuta hivyo vitu anaehitaji ni mganga na mteja alishatoa hela ili vipatikane kwa ajili ya kazi zao,,,,,,,,,,,wauaji wengi ni wafanyakazi wa vilinge, na tunaishi nao uraiani bila kuwashtukia sababu wanakuaga na shughuli nyingine na unaweza ukawaona ni watu wa hali za kawaida tu au ni masikini fulani,,,ila nyuma ya pazia wana yao
 
Rambi rambi ndio iwe sh 100
 
Still…. Mtoa roho ni masikini
 
kuna mtu anafiwa watu 11 tarehe ya moja?

katika risiti kuna jina linadaiwa vifo 11 kwa tarehe ya siku moja

how comes iwe mchango
 
Naona Wachawi wa JF wamevamia huu uzi wanajaribu kutuaminisha kwamba hicho kifo ni cha kawaida,hizo risiti ni za mchango wa msiba ,n.k. Oya acheni kuroga wenzenu nyie mafala,msitake kuhalalisha uchawi wenu hapa.
Mtabaki kua mafukara tu,, kila kitu ni uchawi. Akili za kimaskini. Hata mama ako anaweza kua mchawi japo anaenda kanisani kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…