Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Bro take it as you see it

Nakueleza kuwa hizo risiti sio jambo la ajabu kabisa.
Risiti haina code yeyote, nimeitambuq risiti kwa kuiona. Huyu ni mwanachama wa kufa na kuzikana. Uchagani vipo vingi sana


Jambo la ajabu ni kwa nini akutwe na mfupa wa mtu.
 
Tunazipenda sana,,,tena ukipita na v8 lako na juzi umezika mwanao,,, lazima tuseme umepata hilo v8 baada ya kutoa kafara mwanao
Sasa mkirudi makwenu hua mnaenda kulisha nini familia? Au huko vijiweni hua mnaomba omba hela
 
Heeeeee
 
Stori za mafukara hizi mkiwa vijiweni.
Sawa sisi mafukara ninyi washua mna nini cha kuringia zaidi ya ushirikina usiyo na kichwa wala miguu?mtu amejikaza kutunza mwanae kwa mapenzi makubwa kwa jasho na damu for almost 12 years leo wapumbavu fulani mnaenda kumpoka hiyo zawadi.

Na kabisa mnaona ni ujanja,huo siyo ujanja ni ujinga.
 
Hatimaye asiyejulikana amejulikana kwa msaada wa wananchi. Polisi walijaribu kumficha lakini wameshindwa. Jitihada zao zimeangukia pua.
 
Kiasi na miaka ya hizo risiti ,,uchakavu wake na vilivyoandikwa ndo vinavyotia mashaka
 
Alafu utaskia anawaasa watu kuwa wapambane fursa zipo yeye Alianza Na punje YA Michele now anamiliki shamba la mpunga kumbe Ni uwongo
 
Misiba huwa inachangiwa kwenye Zengo , kama hujachanga misiba mitano itaonekana ,kama saba itaonekana ndiyo hayo aliyokuwa anaandika huyo mtu ,muwe mnatumia akili kidogo muda mwingine
 
Kiswahili ni lugha yetu sote, lakini uelewa na matumizi yake saazingine hutofautiana.

Nilivyoelewa mimi kwa namna zilivyoandikwa risiti hizo ni kama kumbu kumbu ya michango ya kuhani ya 'nzengo' ambayo jamii inakuwa imekubaliana.

Michango ambayo huchangwa kila msiba utokeapo.

Sasa waliotajwa majina, walikuwa ni wadaiwa sugu wa michangoo ya rambi rambi hizo.
 
Mpare na mchaga ni kama kyupi na kota......mchaga kwenye ndumba ni mweupee,,,,ni wateja wakubwa wa ndumba za wapare na watu wengine wa Tanga

Hapana.
Ni watu wawili tofauti sana.
Characters zao na hulka zao ni tofauti kubwa mno.
Kutoka mkoa mmoja haimanishi wako closely related.
La hasha.
Kuna makabila mengi tu wako mmoja lakini ni Watu tofauti sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…