SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Hakuna kwani wao hawataku helaNa unakuta wanafanya hizo kazi kwa ajili ya matajiri fulani au wanasiasa fulani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kwani wao hawataku helaNa unakuta wanafanya hizo kazi kwa ajili ya matajiri fulani au wanasiasa fulani
Hawana tofauti
Ndio pigia mstari kabisa...............matajiri wengi wa kaskazini wanaotumia ndumba ,,wataalam wao ni kutoka upareni na mkoa wa Tanga
Great thinker sikuwaza hiki ika unenipa muangazaMbona kama inaonekana ni risiti za malipo ya michango ya chama chao cha kufa na kuzikana?
Hakuna cha ajabu hapo
Code gani hapo ? Huyo mtu hajui tu kusoma na kuandika muwe mnatumia akiliShida sio risiti tu,,,,,na hivyo vilivyoandikwa humo,,,mbona vimekaa kama vina code ,yangekua mambo ya kawaida hata risit zingekua zimenyooka,,,,risiti ya 1997 tena kwa mazingira zilipokutwa zisingekua hivyo......naona wanachama mmebanwa pabaya mnahangaika kujichomoa
Hela wanapata pia kwenye hizo kazi ila asilimia kubwa ya hizo kazi ni kwa ajili ya kupeleka mahitaji ya vilingeni,,,unakuta huo mzigo kuna mtu alishalipia kwa mganga vitu viletweHakuna kwani wao hawataku hela
!Naona Wachawi wa JF wamevamia huu uzi wanajaribu kutuaminisha kwamba hicho kifo ni cha kawaida,hizo risiti ni za mchango wa msiba ,n.k. Oya acheni kuroga wenzenu nyie mafala,msitake kuhalalisha uchawi wenu hapa.
Ndo tumeshazitumia tumefikia hapo....na wewe endelea na akili zakoCode gani hapo ? Huyo mtu hajui tu kusoma na kuandika muwe mnatumia akili
We jamaa kilaza sanaHela wanapata pia kwenye hizo kazi ila asilimia kubwa ya hizo kazi ni kwa ajili ya kupeleka mahitaji ya vilingeni,,,unakuta huo mzigo kuna mtu alishalipia kwa mganga vitu viletwe
Mbona hao Wapare na watu wasizitumie wenyewe wasizitumie kuwa matajiri?
Mbona hao Wapare na watu wasizitumie wenyewe wasizitumie kuwa matajiri?
Nayasema haya kama mpare ambae niliamua kabisa kuukana na kuukimbia ukoo,,najua mambo ya huko kaskazini................Hapana.
Ni watu wawili tofauti sana.
Characters zao na hulka zao ni tofauti kubwa mno.
Kutoka mkoa mmoja haimanishi wako closely related.
La hasha.
Kuna makabila mengi tu wako mmoja lakini ni Watu tofauti sana.
We kilazwa haya umelazwa na wangapi hadi kuamkia leoWe jamaa kilaza sana
Mna akili ndogo sana vijanaNdo tumeshazitumia tumefikia hapo....na wewe endelea na akili zako
Halafu unabishana nae,,,basi wewe na huyo kijana akili zenu mnafanana,,,,,maana wenye akili kubwa hawapo hukuMna akili ndogo sana vijana
Upupu unaandika harafu unajifanya kuomba radhi,mbona huongelei tukio la mtoto kukutwa kauawa Kwa nyumba ya hizo list?Mwisho samahani kwa maelezo mengi
Vyama vya kufa na kuzikana vingi vimeleta shida baada ya watu kuanza kula hela hizi
Tulipanga kuchanga kwenye ukoo wetu hela ilafika million 14, baba yangu mdogo akaiba million 8 na kuziweka kwenye business zake. Mpaka leo hazijarudi
Juzi niliwashawishi baadhi ya watu tuwe na list ya watu 200 tu. Ila hatitachanga kila mwezi
Chama chetu kitakuwa cha wanachama wanaosaodiana tu wakati shida ikitokea. Mfano kila mwanachama akitoa elfu 20, aliyepata matatizo atapa millions 4
Matatizo gani nayazungumzia hapa?
1. Mfano ajali
2. kufiwa na baba, Mama, mtoto na mke tu. Misiba mingine ya babu, bibi, mjomba haitohusiana
3. Kusapoti mchango wa harusi
Sio kila jambo mnarukia uchawi kutoka kilimanjaro.
Akili yako mkiona watu wanafanya maendeleo ni wachawi. Wewe ndio mchawi mkubwa
Unakuta mtu ana kiduka anauza mpaka saa saba za usiku, mnamuita mchawi. Kama angekuwa mchawi angelala hela ziingie sio kuwa anapambana toka asubuhi akichuma mnamuita mchawi
Tafuteni hela
Jamaa wanafanya upotoshaji wa wazi kabisa.Naona Wachawi wa JF wamevamia huu uzi wanajaribu kutuaminisha kwamba hicho kifo ni cha kawaida,hizo risiti ni za mchango wa msiba ,n.k. Oya acheni kuroga wenzenu nyie mafala,msitake kuhalalisha uchawi wenu hapa.
Mtabaki kua mafukara tu,, kila kitu ni uchawi. Akili za kimaskini. Hata mama ako anaweza kua mchawi japo anaenda kanisani kila siku.